π€£π€£π€£πKabisa!!! [emoji1787][emoji23][emoji23]!! na kuna hii
Wanawake na wasichana kwenye mitandao yetu ya Kijamii
Wanaumeeee nawaita tena wanaumee wenzangu. Ni hivi kumekuwa na wimbi kubwa la wanawake na wasichana a.k.a mabint wanajipost kwenye hii mitandao yetu. Picha nzuri zilizo fanyiwa filter na wenye ngozi nzuri ya kuvutia. Sasa kilicho nifanya niandike huu uzi ni kuwa tahadharisha nakuwaeleza...www.jamiiforums.com
Hatari nakwambia!! Sijui tutachomokea wapi π€£ππ!π€£π€£π€£π
Kanuni kuu yenyewe wengi wetu tayari imetushinda...sio wanaume sio wanawake....so ata ndoa zenyewe tayari ni batiliHaiko hivyo kirahisi!
Tunapaswa kujifunza na kujua kanuni za mahusiano ya kimapenzi.
Sema mm nakuelewa sana, ww ni muelewa.Hatari nakwambia!! Sijui tutachomokea wapi π€£ππ!
Hii vita yetu nanyie sijui itaisha lini hakyanani!!Sema mm nakuelewa sana, ww ni muelewa.
Itaisha endapo mtakapojua position yenu ni ipi, nakuachana na 50/50...feminism imetawala sana.Hii vita yetu nanyie sijui itaisha lini hakyanani!!
Feminism ni Hatari nanusu mkuu!!! Ndiomana wanasema the more mwanamke anazidi ongeza kiwango cha elimu the less the fursa ya kupata wanaume!!Itaisha endapo mtakapojua position yenu ni ipi, nakuachana na 50/50...feminism imetawala sana.
NyieSisi ni kama yameshakuwa maisha yetu ya kawaida kwa miaka nenda rudi (more than ten years huko) ikifika mwisho wa mwezi wote tunaeka hela mezani kisha tunapanga matumizi.
Maisha yanaenda vizuri kabisa na hii imesaidia tumefanya mengi pia.
[emoji28][emoji28] imebidi nicheke tu kwanzaMwanaume anae oa kwa hii genaration anajitoa muhanga.. na wanawake wanapenda kuolewa na wanaume mazoba sikuhizi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni hatari..
Kwaiyo unashauri nn sana??Feminism ni Hatari nanusu mkuu!!! Ndiomana wanasema the more mwanamke anazidi ongeza kiwango cha elimu the less the fursa ya kupata wanaume!!
Sema baadhi ya wanawake.Wanawake ni wabinafsi, wanaishi nasi kwa mfumo wa CHANGU changu na CHAKO changu.
Pesa yake ni kwaajili ya kusaidia ndugu na jamaa zake tu ili wampongeze na kumsifu tu. Huku mwanaume ukipigika kuendesha familia.
Ndio maana sikuhizi wanawake wanamiliki pesa ndefu kuliko wanaume. Kwasababu pesa zao wanazihifadhi wakati za mwanaume zinatumika kwenye familia.
Tatizo uhalisia wa mambo ndio changamoto!!! Mtu anaweza shauri anavoona yeye ila tukija kwenye uhalisia sasa mambo ni Tafrani!Kwaiyo unashauri nn sana??
Kwamaana hyo basi tuyaache kama yalivyo.Tatizo uhalisia wa mambo ndio changamoto!!! Mtu anaweza shauri anavoona yeye ila tukija kwenye uhalisia sasa mambo ni Tafrani!
Ewaaaaaa Tuishi humohumo tu!! Ukikumbana nalo unaparangana nalo na finally litapita maisha yanaendelea!Kwamaana hyo basi tuyaache kama yalivyo.