Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Numbi, wewe si ni mwanamke, kweli unawaponda wanawake wenzio kiasi hicho?
Hatuwezi kuwa 50/50 kwenye ndoaKwahyo we hela zako ni za nini?
Sio sahihiWasomi wengi wanawake no wajuwaji ndo shida inaanzia Apo,wanasaidia familia ya kwao kuliko ata watoto wa kuwazaa,mzigo unabaki kwa mwanaume,huu ndo ukweli
Ni wachache sana yaani 1 in a million. Hata mtoto unaeza muomba mama hela alafu anakujibu muombe baba yako!Hatuwezi kuwa 50/50 kwenye ndoa
Ukitaka heshima ukifika home kila mtu anaji'arrange provide for the family
Kuna vitu mke u can do kumsupport mwenzio unamuachaje anafanya kila kitu??!
Hadi mapazia?watoto wako huwanunulii hata nguo?father house humletei zawadi?!
Vyombo
Mapambo
Mashuka nk
Mkijipanga inawezekana kbs
Mnazopata mwisho wa mweziZipi Tena?
Waachen na ela zao Kwan ulilazimishwa kuoa mwanamke mwenyew pesa !!?? Inamaana ultafta mwanamke mwenyew pesa ili ukwepe majukumu yako katka familia??? Toa ela broo tmiza majkm yakoKuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni mwanaume apambane, ada ya shule ni mwanaume.
Hivi majuzi imebidi mwanaume amlipie vikoba mwanamke maana alikuwa anadaiwa na watu washatimba home kubeba vyao. Chanzo cha ugomvi kikaanza baada ya jamaa kumnyima mwanamke hela ya saloon kwa kuhoji wewe hela zako unapelekaga wapi?
Navyozungumza kesi ipo dawatini na ndoa ina ning'inia. Wanawake mmezidi badilikeni jueni saivi maisha ni 50/50 sio kuwa mzigo kama panya nyumbani huna faida kazi kuharibu tuu!
Na bado mtaandika sana, soon nawaona mnaenda beijing[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Watasema tuwapumzishe[emoji28][emoji23] mada zimekuwa nyng sana.
HahahahaNa bado mtaandika sana, soon nawaona mnaenda beijing[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]