Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Hivi wanawake pesa zenu mnapelekaga wapi? Badilikeni!

Kuna jamaa aliweka Uzi uku akasema Kati usiweke urafiki na wanawake wao ni watu wa kuchukua Tu bila kutoa watachukua na kuchukua nakuchukua zaidi kutoka kwako mke kama anafanya kazi na hatoa chochote home aisee ilo bomu kuwa nalo makini wanawake wengi wanajenga makwao na kuisi ndyo njia salama ya wao kujikomboa mwisho wanaishia kudhulumiwa na ndugu zao
 
Kwahyo we hela zako ni za nini?
Hatuwezi kuwa 50/50 kwenye ndoa

Ukitaka heshima ukifika home kila mtu anaji'arrange provide for the family

Kuna vitu mke u can do kumsupport mwenzio unamuachaje anafanya kila kitu??!
Hadi mapazia?watoto wako huwanunulii hata nguo?father house humletei zawadi?!
Vyombo
Mapambo
Mashuka nk

Mkijipanga inawezekana kbs
 
Najaribu kufikiria bila mwanamke dunia ingekuwaje aisee! Barikiweni sana wakinamama wote japo tunapandikiziwa sana sumu juu yenu lakini toka ndani ya moyo wangu nawathamini mno japo mna mapungufu mengi sana, na hayo mapungufu ndio yanakamilisha ubinadamu wetu, binadamu bila mapungufu hajawa binadamu.
 
Kuna ishu moja nishawahi isikia,mwanaume siku moja alikuta bank slip ya mkewe ina milioni 30,nadhan mkewe alisahau Kwa bahati mbaya,mtiti ukaja,mume anajua mshahara wa mkewe ni mdogo,je imekuwaje akawa na hela zote hizo? Hata sijui picha iliishaje.

Lkn pili huyo mwanamke kiboko yaan mpaka hela ya saluni au vikoba alipiwe? Naungana na mchangiaji mmoja hapo juu,huyo mke Hana mapenzi na mume wake.
 
Hatuwezi kuwa 50/50 kwenye ndoa

Ukitaka heshima ukifika home kila mtu anaji'arrange provide for the family

Kuna vitu mke u can do kumsupport mwenzio unamuachaje anafanya kila kitu??!
Hadi mapazia?watoto wako huwanunulii hata nguo?father house humletei zawadi?!
Vyombo
Mapambo
Mashuka nk

Mkijipanga inawezekana kbs
Ni wachache sana yaani 1 in a million. Hata mtoto unaeza muomba mama hela alafu anakujibu muombe baba yako!
 
Kuna jamaa yangu ni mtumishi na mkewe pia ni mtumishi. Jamaa analipwa 900k na mkewe analipwa 1.3m ila sasa kodi ya nyumba, bili za umeme na maji analipa mwanaume, na bado ujenzi wa nyumba ni mwanaume apambane, ada ya shule ni mwanaume.

Hivi majuzi imebidi mwanaume amlipie vikoba mwanamke maana alikuwa anadaiwa na watu washatimba home kubeba vyao. Chanzo cha ugomvi kikaanza baada ya jamaa kumnyima mwanamke hela ya saloon kwa kuhoji wewe hela zako unapelekaga wapi?

Navyozungumza kesi ipo dawatini na ndoa ina ning'inia. Wanawake mmezidi badilikeni jueni saivi maisha ni 50/50 sio kuwa mzigo kama panya nyumbani huna faida kazi kuharibu tuu!
Waachen na ela zao Kwan ulilazimishwa kuoa mwanamke mwenyew pesa !!?? Inamaana ultafta mwanamke mwenyew pesa ili ukwepe majukumu yako katka familia??? Toa ela broo tmiza majkm yako
 
Back
Top Bottom