Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Lamomy Missy Gf hivi dada yenu nimewakosea Nini Hadi hamniiti nije kusikia vile watu wanakojolea ubwabwa?? kumbe watu wanachukua nyayo na matako wanapeleka Kwa mabwana wa kazi na hamsemi!🤔🤔🤔 itabidi hili suala baba mtumishi Tlaatlaah na mama mtumishi Tayana-wog waingie mlima wa maombi....Mimi nitawapikia futari ya kula jioni wakifungua
🤣🤣🤣🤣 hatareee
 
Hili inabidi tupande mlimani kabisa maaana kwa nguvu za nyama hatutoboi
zingatia na watu wenyewe lakini wa kupanda milimani mahali pa juu palipoinuka 🐒

hata na hivyo sirini patulivu palipojificha, tunaweza pia angusha maombi na maombezi ya nguvu sana aise..
kuangusha hii kasumba ya machupi na mikojoleo kwa chakula ndani ya uchumba na ndoa
 
😂😂😂😂
 
Watu wanasema hatuolewi haolewi kumbe vijitu vichawi balaa. Utaolewa na nani boma gani lichukue shida hapa mjini.

Naishi na wanawake wenzangu hapa nilipo ila vitu wanavyofanya ndio maana hawaolewi.

Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.

Usiku ukilala anakuja kukulogea nguo zako za ndani usizae. Anachukua nyayo, sura, hata makalio anaenda kupatia mabwana na kazi, hadi sauti yako, yaani hii ni shughuli.

Mtu anachukua hadi damu na yai lako anazaa mtoto wake bahati zako na nyota acha tu keroo wanapigania maisha yako kama yao ukiwajua wananuna ukiuza hata kiwanja wanaenda kukufungia ili majaa zao wawaone wao ndio wapo juu.

Na tabia nyingi wanazifanya kama wapo huku, acheni, kaeni na riziki zenu jamani. Mnaboa eti.

Wenzenu wanachelewa kufanya yao kwa ajili yenu. Mnamtoa damu mwenzenu ili mkawangie damu ya mwenzenu ndio imekuwa mafuta ya kuendea kuloga watu wengine.
Huwa nawaambia watu,kwa harakati za wanawake( ulozi) huenda peponi tukaingia wanaume watupu hahaha

Sent from my TECNO BE6 using JamiiForums mobile app
 
Kuna wanawake wanapuliza, tena yule anaye kujua akikuona vihela vimekutembelea au vinanukia ukijidanganya eti upige then utembee unajikuta umenasa moja kwa moja.

Au ukute unadate na mwanamke anaye
hitaji ndoa, then wewe mahesabu yako kupiga na kutambaa,kumbe unaliwa timing.

Siku hizi ndoa na madanga wenye fedha,vinatafutwa kwa njia yoyote na wengine hufikia level ya kujitolea mpaka mahali.
 
Watu wanasema hatuolewi haolewi kumbe vijitu vichawi balaa. Utaolewa na nani boma gani lichukue shida hapa mjini.

Naishi na wanawake wenzangu hapa nilipo ila vitu wanavyofanya ndio maana hawaolewi.

Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.

Usiku ukilala anakuja kukulogea nguo zako za ndani usizae. Anachukua nyayo, sura, hata makalio anaenda kupatia mabwana na kazi, hadi sauti yako, yaani hii ni shughuli.

Mtu anachukua hadi damu na yai lako anazaa mtoto wake bahati zako na nyota acha tu keroo wanapigania maisha yako kama yao ukiwajua wananuna ukiuza hata kiwanja wanaenda kukufungia ili majaa zao wawaone wao ndio wapo juu.

Na tabia nyingi wanazifanya kama wapo huku, acheni, kaeni na riziki zenu jamani. Mnaboa eti.

Wenzenu wanachelewa kufanya yao kwa ajili yenu. Mnamtoa damu mwenzenu ili mkawangie damu ya mwenzenu ndio imekuwa mafuta ya kuendea kuloga watu wengine.
Wait!!!..hayo mattercore anachukuaje surely?
 
Back
Top Bottom