Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NakaziaIla dada maua nyuzi zako nazielewa kiduchu sna uandishi wako unaenda kinyume nyume mara zote , unaandika ki genius sana.
😁😁Nakazia
Ni wewe hujawahi so huwezi elewa wanachopitia waliprogwa km huyu anasema hapa ye kajionea live....Yan mtu aache kuopoa pisi kisa ayo maujinga ambayo hayapo? Mbona mimi silogwi na sijawahi kulogwa na kima yoyote?
Duh! Hatari mno🤣🤣🤣
We mdada Gani atakataa sehemu inaeleweka
Hakuna bana
Mwanzo atajifanya kukubali ila lzm apambane
Ndo umejua ss kuwa makini!
Ony in Africa na jamii ambayo haijastarabika.Ni wewe hujawahi so huwezi elewa wanachopitia waliprogwa km huyu anasema hapa ye kajionea live....
Ila watu wamerogwa na wanarogwa sn tu
Habari ndo hiyoDuh! Hatari mno
Umemchachua mwenyewe mumeo 🤣🤣🤣Weee uduguuu Smart911 kichwa yake anaijua mwenyewe huyu sikuhizi kachangamkaa kweli aliemchachua haendi mbinguni walai 😁🤠
🤣🤣🤣🤣🤣🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️🏃♀️Aanzie Muhimbili maana Dom mbali
Sijajua unatakaje
wameru wa huko ndani ndani ngarenanyuki wanaamini sana kwenye ushirikina mkuuAiseee
Usijali nimemlenga niliyomtag kuwa na amani dada yangu.Sijajua unatakaje
Zimefika...