Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waoe tu wakupatie familiaNa siku hizi wadada wanajiuza mno, sijui tutaoa akina nani
Wachawi nyie, uchoyo wenu, roho mbaya mnazo, ubinafsi ndio rangi yenu, mnagawa utelezi hovyo... Sioni kama naweza kuoa
Hama iyo nyumbaTena haya nimadogo majuzi kati walichonifanyia nikakaa chini uchi . Yaani kuharibu waliharibu fulu nimaibilisi.
Kina huyu dada anachukia nikipata mtu na anachukia nikiwa na afya njema
Aisee sijawahi kufanya hivyoo ina nampango wa wewe kukufanya zezeta unaonaje??Unique Flowers akiwa kwenye harakati kumfanya Mzabzab kuwa zezeta la mahaba....[emoji2960]View attachment 2884282View attachment 2884284
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Ndio natafuta nyumba ingine pole pole ila inaelekea ni tabia zao kila mahali . Ila natafuta ya nafuuHama iyo nyumba
Mbna badoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Iihiiiiiiiii......wanaume tunadungwa acid za hatari ndo maana tunarest in peace mapema!!lekaji bhagosha!
Yes,Watu wanasema hatuolewi haolewi kumbe vijitu vichawi balaa. Utaolewa nanani boma gani lichukue shida hapa mjini.
Naishi na wanadada wenzangu hapa nilipo ila vitu wanavyofanya ndio maana hawaolewi.
Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.
Usiku ukilala anakuja kukulogea nguo zako za ndani usizae.
Anachukua nyayo sura hata matako anaenda kupatia mabwana na kazi .
Hadi sauti yako yaani hii ni shughuli mtu anachukua hadi damu na yai lako anazaa mtoto wake bahati zako na nyota acha tu keroo wanapigania maisha yako kama yao ukiwajua wananuna ukiuza hata kiwanja wanaenda kukufungia ili majaa zao wawaone wao ndio wapo juu.
Natabia nyingi wanazifanya kama wapo huku acheni kaeni nariziki zenu jamani. Mnaboa eti.
Wenzenu wanachelewa kufanya yao kwa ajili yenu. Mnamtoa damu mwenzenu ili mkawangie damu ya mwenzenu ndio imekuwa mafuta ya kuendea kuloga watu wengine.
Watu wameshavuka huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee [emoji28] [emoji28] [emoji28] haya mambo sio mapya, hata wazungu wanafanya mbona.
Kuna ile ya kuweka damu ya period kweny chakula au mavuzi kweny chakula, hizi mbili ndo ambazo nimeshuhudia
All in one mzee hawa viumbe dishi zao zimeyumba.Wanaroga wanaume alafu wanaroga wanawake wenzenu alafu wanajiroga wenyewe au sijaelewa vizuri hapo?
Aisee 😅 😅 😅 haya mambo sio mapya, hata wazungu wanafanya mbona.
Kuna ile ya kuweka damu ya period kweny chakula au mavuzi kweny chakula, hizi mbili ndo ambazo nimeshuhudia
[/QUOTE
Correct halafu ile mtu anaiba pedi la mwenzake anamfunga asizae we acha tu
Tofauti namimi sijaonaHuu uzi mbona hamna comments za wanawake.
Hao hao ndio balaah wanaonifanyia hivyoo wanadegree zao ,wapo maofisini ni warembo na familia zao wameolewa kuzuri wale wakijijini na uswahilini sio kivile ni mdomo na ushirikina wao sio wa 10GNashukuru Mungu huwa sina bahati ya kutembea na wanawake wa kiswahili. I only bang with well raised women.
Sana tena wale wazuri wazuri wale ambao unaona umepati kifaa huyuKama ni hivyo basi wadada wachawi na washirikina sana
tuanze kuwaitaa😂😂Huu uzi mbona hamna comments za wanawake.