Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Watu wameshavuka huko, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni zamani na imepitwa na wakati
Hakuna mambo ya zamani na ya sasa, mambo yanafanywa yanachokwa, yanafanywa mengine yanachokwa pia, then linarudiwa kufanywa lilelile la mwanzo.

Hilo la kuweka damu ya period kweny chakula ili mungu akupende limefanywa kwa miaka mingi sana na bado wanawake wanafanya.
 
Watu wanasema hatuolewi haolewi kumbe vijitu vichawi balaa. Utaolewa na nani boma gani lichukue shida hapa mjini.

Naishi na wanawake wenzangu hapa nilipo ila vitu wanavyofanya ndio maana hawaolewi.

Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.

Usiku ukilala anakuja kukulogea nguo zako za ndani usizae. Anachukua nyayo, sura, hata makalio anaenda kupatia mabwana na kazi, hadi sauti yako, yaani hii ni shughuli.

Mtu anachukua hadi damu na yai lako anazaa mtoto wake bahati zako na nyota acha tu keroo wanapigania maisha yako kama yao ukiwajua wananuna ukiuza hata kiwanja wanaenda kukufungia ili majaa zao wawaone wao ndio wapo juu.

Na tabia nyingi wanazifanya kama wapo huku, acheni, kaeni na riziki zenu jamani. Mnaboa eti.

Wenzenu wanachelewa kufanya yao kwa ajili yenu. Mnamtoa damu mwenzenu ili mkawangie damu ya mwenzenu ndio imekuwa mafuta ya kuendea kuloga watu wengine.
Yaani hujui kuandika kabisa, hueleweki
 
Humu duniani hakuna uchawi kwa kila mtu , bali uchawi upo kwa wanao amini huo ujinga.
 
Back
Top Bottom