Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Attachments

  • Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    Screenshot_2022-02-19-12-37-54-95.jpg
    13.4 KB · Views: 2
Karibu maana akina Leejay49, Tayana Wog na Victoire wanachezea shilingi chooni, ila jipange mno kupambana na nguvu za Mungu "Jehovah".

Ubinadamu ni kazi/Humanity is a work.

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Kama Yesu alifufuka basi wanapoteza Muda.
Iko damu Moja tu ,shida ni namna ya kuitumia!
Soma Ebrania 24 yote!

Najua haya mambo nimeyashuhudia nikiwa chuo,ila wanawake 🙌🙌
 
Duh!
Nimekumbuka stori ya jamaa wa jamaa wangu Kaka yake rafiki yangu. Alishawahi kuyakanyaga.

Jamaa alikubaliana pisi moja yenye tako kubwa, kukulana tu. Mapenzi ya kumega tu hakuna future yoyote. Pisi ikakubali, jamaa kampangishia na kumgharamikia kila kitu. Jamaa akawa sponsor. Jamaa akawa anaenjoooy tako kubwa kwa raha zake. Ghafla akaanza kuumwa, hospitali kubwa zote hakuna ugonjwa wowote. Kapimwa damu, choo, Ultrasound, CT scan na vifaa vyote, hakuna ugonjwa. Narudia tena hakuna ugonjwa. Mama yake huyo jamaa akampeleka jamaa kwenye maombi ya kufunga na kuomba kwa muda mrefu. Siku moja maombi yakiwa yanaendelea jamaa akaanguka na kutapika vitu visivyoeleweka vilivyofungwafungwa. Kuja kufatilia kumbe ile pisi yenye TAKO KUBWA ndio ilimroga kwa mganga wa majini. Rafiki zake Jamaa walimtight na kipigo heavy huyo mrembo ndio akafunguka kuwa alifanya hivyo ili apande toka kwenye mapenzi ya kuliwa tu, mpaka aolewe kabisa.

Halafu binti anaanza kujiliza anaomba msamaha.

Aisee hiyo pisi ni pisi kweli halafu anakasura kazuri, shepu nzuri mno narudia tena shepu nzuri mno, ana kasura hivi ka upole, halafu msomi, yaani huwezi kumdhania kuwa ataenda kwa mganga wa majini. Ni hatari mno.


Bora niendelee zangu na puli. 🤣
 
Watu wanasema hatuolewi haolewi kumbe vijitu vichawi balaa. Utaolewa na nani boma gani lichukue shida hapa mjini.

Naishi na wanawake wenzangu hapa nilipo ila vitu wanavyofanya ndio maana hawaolewi.

Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.

Usiku ukilala anakuja kukulogea nguo zako za ndani usizae. Anachukua nyayo, sura, hata makalio anaenda kupatia mabwana na kazi, hadi sauti yako, yaani hii ni shughuli.

Mtu anachukua hadi damu na yai lako anazaa mtoto wake bahati zako na nyota acha tu keroo wanapigania maisha yako kama yao ukiwajua wananuna ukiuza hata kiwanja wanaenda kukufungia ili majaa zao wawaone wao ndio wapo juu.

Na tabia nyingi wanazifanya kama wapo huku, acheni, kaeni na riziki zenu jamani. Mnaboa eti.

Wenzenu wanachelewa kufanya yao kwa ajili yenu. Mnamtoa damu mwenzenu ili mkawangie damu ya mwenzenu ndio imekuwa mafuta ya kuendea kuloga watu wengine.
Mbu kala mbu apa kumbe umekua ilo ukigundulika ndoa huna
 
Duh!
Nimekumbuka stori ya jamaa wa jamaa wangu Kaka yake rafiki yangu. Alishawahi kuyakanyaga.

Jamaa alikubaliana pisi moja yenye tako kubwa, kukulana tu. Mapenzi ya kumega tu hakuna future yoyote. Pisi ikakubali, jamaa kampangishia na kumgharamikia kila kitu. Jamaa akawa sponsor. Jamaa akawa anaenjoooy tako kubwa kwa raha zake. Ghafla akaanza kuumwa, hospitali kubwa zote hakuna ugonjwa wowote. Kapimwa damu, choo, Ultrasound, CT scan na vifaa vyote, hakuna ugonjwa. Narudia tena hakuna ugonjwa. Mama yake huyo jamaa akampeleka jamaa kwenye maombi ya kufunga na kuomba kwa muda mrefu. Mara maombi yakiwa yanaendelea jamaa akaangua na kutapika vitu visivyoeleweka vilivyofungwafungwa. Kuja kufatilia kumbe ile pisi yenye TAKO KUBWA ndio ilimroga kwa mganga wa majini. Rafiki zake Jamaa walimtight na kipigo heavy huyo mrembo ndio akafunguka kuwa alifanya hivyo ili apande toka kwenye mapenzi ya kuliwa tu, mpaka aolewe kabisa.

Halafu binti anaanza kujiliza anaomba msamaha.

Aisee hiyo pisi ni pisi kweli halafu anakasura kazuri, shepu nzuri mno, ana kasura hivi ka upole, halafu msomi, yaani huwezi kumdhania kuwa ataenda kwa mganga wa majini. Ni hatari mno.


Bora niendelee zangu na puli. 🤣
SI hamsikii mkiambiwa🤣
Mnafikiri wanaume wanao oa wanawake wa kawaida wajinga!

Halfau hakuna mwanamke Ambae Yuko tayari eti kuliwa tu,ni uongo!
.atakubali lkn atafanya Kila namna akukamate!

Haya ss,imagine huyo kaka mama Ake mzazi asingekua muombaji ingekuwaje?
SI mngeishia kuzika?
Ndo maana kwenye familia km mna ht mtu 1 anaewaombea mshukuru sana.🤣

Hata puli sio issue ni spirit/demon ziko nyuma ya hiko kitu madh ara hutayaona sshv

Cha mhimu mtegemee Mungu ,omba Mungu hutaingizwa kwenye hayo makitu
 
Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Anachukua nyayo sura hata matako anaenda kupatia mabwana na kazi
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijaelewa kitu na nisielewe tu😂😂😂
 
Hapo anakuwa anahangaika na nini mkuu? Je, zoezi hilo linazaa matunda?
Anahangaikia mapenzi mkuu, anafanya hivo ili umpende, ni ushirikina tuu hauhitaji maelezo mengi.
Ni kama ile waswahili wanayosemaga "Limbwata"

Kwa issue ya Kuzaa matunda sijui kama inazaa matunda au la.
 
Back
Top Bottom