Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Hivi wanawake shida ni nini lakini?

Mtu akipika wali anachukua mkojo wake kidogo anachanganya anaweka jikoni. Hapo yeye hali. Ni mpenzi wake.
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]
Anachukua nyayo sura hata matako anaenda kupatia mabwana na kazi
[emoji3064][emoji3064][emoji3064][emoji3064]

Sent using Jamii Forums mobile app

Yan kuelewa nyuzi za huyu dada mpaka uwe na mashetani ya ukoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hahahahah kuna moja nilisikiaga kwamba wanaweka kakipande ka nyama kwenye nyuchi zao,kanalala humo,kesho yake unaandaliwa msosi kanawekwa. Eti ukikala,unampenda hadi unapitiliza vituo,af unakuwa kama mjinga mjinga hivi. Najiulizaga connection ya hayo mambo na uhalisia nashindwa kupata jibu.
Dark stuff broo
 
Inasikitisha sana...
Niroge basi nione inakuaje kurogwa...
You know kwako sijiwezi uwii naanzaje kwa mfano! Uliponirogea hakii huendi mbinguni smart

Sasa ukute mwanamke Arusha anakuroga Tanga anakuroga Dar anakuroga Mbeya anakuroga uwiii mwanaume Si utachizi sasa???!!

Hapo mwenye kufunikwa na damu ya Yesu tu ndio atakuwin mwanaume!

Urozi ni hatari sana asee
 
Anahangaikia mapenzi mkuu, anafanya hivo ili umpende, ni ushirikina tuu hauhitaji maelezo mengi.
Ni kama ile waswahili wanayosemaga "Limbwata"

Kwa issue ya Kuzaa matunda sijui kama inazaa matunda au la.
Mmbo kama haya ya uchawi Yana mapito magumu lkn yakiishiwa nguvu mzee ataomba ardhi ipasuke aingie ndani maana utamchukia kupitiriza utatamani umchane mabisu tu
 
Back
Top Bottom