Hivi wanawake shida ni nini lakini?


Yan kuelewa nyuzi za huyu dada mpaka uwe na mashetani ya ukoo [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Dark stuff broo
 
Tena haya nimadogo majuzi kati walichonifanyia nikakaa chini uchi . Yaani kuharibu waliharibu fulu nimaibilisi.
Kina huyu dada anachukia nikipata mtu na anachukia nikiwa na afya njema

Kwahyo hata uliponipata mimi alichukia..?[emoji23]
 
Inasikitisha sana...
Niroge basi nione inakuaje kurogwa...
You know kwako sijiwezi uwii naanzaje kwa mfano! Uliponirogea hakii huendi mbinguni smart

Sasa ukute mwanamke Arusha anakuroga Tanga anakuroga Dar anakuroga Mbeya anakuroga uwiii mwanaume Si utachizi sasa???!!

Hapo mwenye kufunikwa na damu ya Yesu tu ndio atakuwin mwanaume!

Urozi ni hatari sana asee
 
Anahangaikia mapenzi mkuu, anafanya hivo ili umpende, ni ushirikina tuu hauhitaji maelezo mengi.
Ni kama ile waswahili wanayosemaga "Limbwata"

Kwa issue ya Kuzaa matunda sijui kama inazaa matunda au la.
Mmbo kama haya ya uchawi Yana mapito magumu lkn yakiishiwa nguvu mzee ataomba ardhi ipasuke aingie ndani maana utamchukia kupitiriza utatamani umchane mabisu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…