Mama Mwana
JF-Expert Member
- Jun 6, 2023
- 2,435
- 7,784
msipende kukariri mambo sio chaiChai..
sasa kuna watu hawaamino, trust me wana watoto wawili na akiamka asbh anahakikisha maji ya kuoga ya moto ya bab na mtoto yako tayar baba akiamka yeye anaogesha mtoto anapeleka shule ila mama akirud anampitia mtoto kwabibi yake akirud afue uniforms zake na za mtoto apike mume aje wakat huo mume akitokea maskani walaleHuku mbeya nimeona wengi tu wakifanya hivyo...,even mi nilifanya hivyo ila nilipoona na kutunza familia nimeachiwa tena kwa salary hii hii ya ualimu....nilivyodai talaka na kusepa jumla hakuamini.Mtu anaponyenyekea usimwone boya mtunze
hivi nyinyi mnaweza? jaribuni siku moja tu muone mziki wakeMwanamke kabla ya kukubali kuolewa yampasa kwanza afahamu mashariti ya ndoa, ambayo kubwa la kwanza na muhimu kuliko yote ni kukubali kulala bila kuvaa PICHU na hayo mengine ya usafi , kupika , kufua n.k ni viambata vyake tu ambayo nayo ni muhimu ayajue kuyatekeleza yote
Huku kawaida sana Mkuu,kikubwa mume atunze vyema familiasasa kuna watu hawaamino, trust me wana watoto wawili na akiamka asbh anahakikisha maji ya kuoga ya moto ya bab na mtoto yako tayar baba akiamka yeye anaogesha mtoto anapeleka shule ila mama akirud anampitia mtoto kwabibi yake akirud afue uniforms zake na za mtoto apike mume aje wakat huo mume akitokea maskani walale
HakikaWapo lakin hayo anaweza kuyafanya kwa miezi 6 tu,baada ya hapo mume ataona kila picha
umenichekesha sasa ndio wanapoeleka sababu mwanamke anachoka sana na mume hana habari tena anamjibu kabisa yote ni majukum yako unatakiwa uyafanyeWapo lakin hayo anaweza kuyafanya kwa miezi 6 tu,baada ya hapo mume ataona kila picha