Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,727
- 8,785
Wife material.. Ila mwanaume usiwe bwegeKama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera
Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
Uliyekutana naye usi generalizeNi wachafu.... Ukimchukua mbadilishe
Kwanini unambishia mhangaza?Uliyekutana naye usi generalize