Kwenye visasi nakubari nina kamchepuko kahangaza,,kakikasirika hata kama kosa ni lake hadi uombe excuse wewe vinginevyo bora penzi liisheWana visasi vibaya sana
Wanagawa nyapu kama karanga
[/QUO
Hapana,,umewasingizia
Wachafu, hawajui kupika, wana roho mbaya na ngumu....ahaaa hao watu nlikaa nao ngara aisee mtoto wa jirani anaweza pata shida akafa hapo wanamwangalia hawamuokoi.
Wachoyo kila kitu kwao kina thamani hadi maji
Na Maji Mengi SanaWana visasi vibaya sana
Labda wamebadilika siku hiziHapana, ni kama Waha kwa uvumilivu na ni wapambanaji sana, Uchafu pia japo hiyo ni kale sana ila ugawaji ni tabia ya watu baadhi tu na ni tofauti kabisa na Wahaya wala hawana tabia za kihaya.
Mpaka ufanikiwe kumpata ndyo utajua tabia zao, pls carryon the projectKama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera
Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
Rick boy anaaemajeNi wachafu.... Ukimchukua mbadilishe
Pazuri kwenye nini ?Ngara Pazuri Sana
MurugwanzaPazuri kwenye nini ?
Au ngara zipo mbili .
Ngara hii hii yenye kabanga ,rulenge ,rusumo,kobelo ,muruvyagira,mugoma kasharaz na kwingineko .
Kwa upande wa maendeleo ngara Bado sana Tena sana ,HALMASHAURI penyew Bado mno ,tembea uone.
Wanawake pia kawaida sana Zaidi ya mimaji na uchafu wa asili
Lete picha kwanza tuanze kumjadili kutokana na muonekano wake.Kama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera
Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.