Hivi wanawake wa kihangaza kutoka Ngara Kagera wana tabia gani?

Hivi wanawake wa kihangaza kutoka Ngara Kagera wana tabia gani?

Kama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera

Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
Ni sawa na wengine. Cha mno mchunguze umtakaye maana watu hawafanani
 
Kama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera

Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
Kama Wahaya tu, ni wachoyo mno na wagawaji wazuri tu
 
Kama Wahaya tu, ni wachoyo mno na wagawaji wazuri tu
Hapana, ni kama Waha kwa uvumilivu na ni wapambanaji sana, Uchafu pia japo hiyo ni kale sana ila ugawaji ni tabia ya watu baadhi tu na ni tofauti kabisa na Wahaya wala hawana tabia za kihaya.
 
Ukimzingua anakukata korodani ila mkiendana ni wachapakazi mno.
 
Kama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera

Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
Ni jeuri sana hao na kiburi wanapenda mashindano na mwanaume.. Ni wabishi sana, nlkua nae mmoja daah mbishi kama nini afu jeuri nikajisemea ya nini kuhangaika na mtu jeuri hivi..
 
Wachafu, hawajui kupika, wana roho mbaya na ngumu....ahaaa hao watu nlikaa nao ngara aisee mtoto wa jirani anaweza pata shida akafa hapo wanamwangalia hawamuokoi.
Wachoyo kila kitu kwao kina thamani hadi maji
 
Ni sawa na wengine. Cha mno mchunguze umtakaye maana watu hawafanani
Kuna watu wana roho ngumu ngumu na mbaya mbaya za kikatili hazina huruma kulingana na ukanda mhhh
 
Kama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera

Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
Hawana tofauti na watusi wa rwanda na Burundi pia na wanawake wa Kigoma.tabia zao zinafanana sana.ni wavivu,wabishi,wabaguzi,wambeya,ni hivyo jiongeze mwenyewe.
 
83% wameongea ukweli mtupu kuhusu tabia zao@ wengi wao wameongea ukweli unao fanana kabisaa kwenye comment@Dada yangu ameolewa na watu wa huko@ pia nina mchumba nimempata huku kazini😨 yani ni vile vile kama watu wanavyo sema kwenye idadi nyingi ya comment 🤐kila la kheri@ umeniwai maana na mimi nilipanga nije kuuliza humu Tabia za wa hangaza🙏 uzuri nimesha pata majibu kwa wingi wa mfanano wa comment🤐 japo hata kwa bibie nimeliona hilo🙏 nw nime jiridhisha🤢 ila ni wachapakazi kweli🤐ila visu balaa
 
Back
Top Bottom