The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 11,099
- 13,709
Ni sawa na wengine. Cha mno mchunguze umtakaye maana watu hawafananiKama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera
Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
Kama Wahaya tu, ni wachoyo mno na wagawaji wazuri tuKama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera
Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
Hapana, ni kama Waha kwa uvumilivu na ni wapambanaji sana, Uchafu pia japo hiyo ni kale sana ila ugawaji ni tabia ya watu baadhi tu na ni tofauti kabisa na Wahaya wala hawana tabia za kihaya.Kama Wahaya tu, ni wachoyo mno na wagawaji wazuri tu
wanapata period kila mweziKama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera
Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
Wewe hufai. Kesho utasema kuwa hata kushua wanashua!!1wanapata period kila mwezi
Hivi kuna kabila Tz ambalo halina ulozi?Wana roho ngumu na ni walozi
Kila binadamu ameumbwa kwa upekee wake. Wewe unatoa wapi mamlaka ya kubadilisha watu ?Ni wachafu.... Ukimchukua mbadilishe
Ni jeuri sana hao na kiburi wanapenda mashindano na mwanaume.. Ni wabishi sana, nlkua nae mmoja daah mbishi kama nini afu jeuri nikajisemea ya nini kuhangaika na mtu jeuri hivi..Kama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera
Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
Sifa mojawapo ya kiumbe hai ni kubadilika kulingana na mazingiraKila binadamu ameumbwa kwa upekee wake. Wewe unatoa wapi mamlaka ya kubadilisha watu ?
Ila sio sifa ya kiumbe hai kubadilishwa na kiumbe hai mwenzake.Sifa mojawapo ya kiumbe hai ni kubadilika kulingana na mazingira
Kuna watu wana roho ngumu ngumu na mbaya mbaya za kikatili hazina huruma kulingana na ukanda mhhhNi sawa na wengine. Cha mno mchunguze umtakaye maana watu hawafanani
inawezekanaIla sio sifa ya kiumbe hai kubadilishwa na kiumbe hai mwenzake.
Hawana tofauti na watusi wa rwanda na Burundi pia na wanawake wa Kigoma.tabia zao zinafanana sana.ni wavivu,wabishi,wabaguzi,wambeya,ni hivyo jiongeze mwenyewe.Kama mada inavyojieleza
Naomba kufahamishwa kinaga ubaga tabia za wanawake wa Kihangaza kutoka kule Ngara mkoani Kagera
Kabla sijafanya maamuzi ya kuchukua jiko.
Ngoja waje kumpa miongozo...