Hivi wanawake wa siku hizi wanajali kuhusu show kali au cha muhimu hela tu?

Hivi wanawake wa siku hizi wanajali kuhusu show kali au cha muhimu hela tu?

Wamama wa fifty plus wanapenda show. Hivi vishankakupe hawajali show, wao pesa tu.
 
hapo kuna mambo mengi sio kwa ajili ya pesa tu
1. Vijana wengi waongo waongo tu hawasemi ukweli
2. Vijana wana ahidi nitakuoa kumbe wadangaji tu...wakisikia mimba imengia wanakimbia kama chita
3. Mtu mzima 40+ kwanza anasema ukweli na haogopi maisha/mimba nk na ndicho kinachovutia wadada
4. KUMBUKA WADADA HUPENDA KUAMBIWA UKWELI KULIKO CHOCHOTE KATIKA MAHUSIANO ILI AFANYE UAMUZI ALIO UTAKA MWENYEWE na sio uamuzi aliotapeliwa.
Asante kwa elimu hiyo
 
Jamani, nimeona siku hizi kuna wimbi kubwa la wanawake kutoka na wababa na kuwa na mahusiano kwa ajili ya hela tu na mpaka unakuta mdada slay Ila chumbani hana kitu cha maana anachofanya.

Inaonekana mademu hawa hawana experience ya show kali coz wanatiwa na kulipwa ka malaya na vibabu so hawana mtu wa kuwapa mahaba niue.

Je, wanawake siku hizi wanajali kuridhishana kimapenzi au cha msingi wanapata malipo baada ya BAO moja la dakika tano waende kujirusha nazo?
Wanataka vyote na zaidi ya hapa kwani mwanamke siku zote haridhiki.
 
Mi nachojua na nina uzoefu nacho mademu wengi wanapiga show kali kwa wenye hela. Ukiwa huna hela ndio utamuona gogo.
 
Why wewe usiwe na low body count, why umjudge mwanamke kwa sexual relationships zenu...so mwanamke kwako ni shimo la kumwagia taka tu...au...plus unaniambia mambo ya dini as if unasema kitu Cha maana hizi ni sheria za watu wa jamii fulani ndo maana dini zipo nyingi rejea kwenye mada husika Kama unataka bikra slim tafuta Dogo wa miaka 10 muowe afu uone Kati ya yeye na mwanamke mwenye experience ya mahusiano nani ni mke Bora acha kutumia dhana za zamani za kuchizika na Bikra
Mpumbavu huyo na slave mentality yake ya kale
 
Back
Top Bottom