joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Sasa wenye maarifa wanapimwaje? Au kwa kwa kuwa ww huamini wanavyo viamini wenzio.Sawa kwa vile Biblia haisemi jua kuzunguka dunia na nyota kua Kama taa angani zinaweza kuangushwa kwa mkia wa dragon, jua kusimama ili mtu ashinde vita, jua kurudi nyuma, all these show Biblia imeandikwa na watu wasio na maarifa. Sasa pastor wako hawezi kukuambia haya coz anataka sadaka yako Ila ndo hivyo soma kitabu chako hamna uroho wowote so plz usikilete as reference