So hata kile ulicho kiandika mwenyewe hukisimamii.
"Hali halisi ya maisha ya binadamu na kijamii na inabadilika kutokana na mda, dini imeanzishwa na watu fulani sehemu fulani na kujitamkia kuwa ndo neno la Mungu la dunia nzima na sheria zake ni hizi hazibadiliki...siwezi ishi 2023 kwa maadili ya 200 BCE kipindi ambacho kubakwa ni normal, kutolewa mtoto ni normal, utumwa ni normal, mabibi kuchomwa ni normal, watu kupigwa mawe ni normal, magonjwa kuchukuliwa Kama mapepo ni normal, nipo Karne ya 21 so Nina uelewa kuliko watu hao ndo maana Nina maisha Bora kuliko hata mfalme wa kipindi hicho..."
Au mpaka hiki ulicho kiandika hukiamini,kwani nilirefer hiko ulicho kiandika, kama uliandikiwa basi sawa.