joseph1989
JF-Expert Member
- May 4, 2014
- 17,420
- 35,765
Yaah kwenye ndoa ipo hivyo haijalishi ke au me,ila ukengeifu wetu wa imani ndio umesababisha tutengeneza mfumo wetu tunao ujua sisi ambao upo kinyume na maagizo ya Mungu, kwani ngono tendo ambalo Mungu kalibaliki kufanya ktk ndoa ,kiasili ipo hivyo haiwezi kubadilika.Mbona unaleta jinsia mbili, hoja yako ilihusu jinsia moja nayo ni mwanamke bikira.
Swala la kuzini lipo kwa wote me na ke hata kama wapo ktk ndoa wanaweza kuzini na ndio maana ya onyo hilo.
Turudi ktk hoja yako, ni kitabu gani kinaagiza tuoe bikira?
Kitabu cha mwanzo umeambiwa usizini, kama ukitaka kuingia deep kwenye dhambi ya kuzini nenda kasome Walawi wameichambua na adhabu zake unaweza kwenda kusoma,mimi sio mtaalam mzuri wa kukalili mistari.