Hivi wanawake wa siku hizi wanajali kuhusu show kali au cha muhimu hela tu?

Hivi wanawake wa siku hizi wanajali kuhusu show kali au cha muhimu hela tu?

Unahangaika kumrizisha dem ambaye mmekutana ukubwani mapenzi kayaanza tokea Primary/O-level,fanya kwa uwezo wako ukishamaliza katafute hela kwani siku hizi kwa jinsi ya dada zetu wengi wao wana lundo la maex waliotoka nae so kumrizisha ni kazi.

Dem anazijua zilizo pinda kuelekea pande zote za dunia,fupi,nene,ndefu zote anazijua then ww ndio ujifanye fundi, mwisho atakufanya ukatafute vumbi ambalo nalo husipo kuwa makini litavuruga mapigo ya moyo wako na kusababisha tatizo jingine.

Labda bikra au demu mwenye low body counts ambazo hazizidi tatu hapo sawa,ila hawa waliyo yaanzia tokea wapo primary/olevel piga kafanye mambo yako.
Okay buh huoni kwamba u judging a woman's value kwa body count.. na Hio ni fikra finyu katika maisha ya kawaida ya binadamu...coz mwanamke anaweza akawa na body count kubwa na akawa Bora kuliko Bikra... So be clear
 
Hivi Maslow's hierarchy of needs hamkuielewa au ni Mimi sikuielewa .[emoji848]
 
show kali peleka Twanga Pepeta

mjini msingi kiuno...

nani akukatie mauno kisa una show kali.. ??
 
Okay buh huoni kwamba u judging a woman's value kwa body count.. na Hio ni fikra finyu katika maisha ya kawaida ya binadamu...coz mwanamke anaweza akawa na body count kubwa na akawa Bora kuliko Bikra... So be clear
Sio mimi hata kiroho tuna shauriwa to date na bikra, ina maana huyo aliyeweka msingi wa kuoa bikra ambaye ni muumbaji (Mungu) naye alikosea?Labda kama huamini ktk maswala ya kiimani basi sawa baki na msimamo wako.

Ila hata ktk kuoa haijalishi kama una iamani kubwa au ndogo,still natural mwanume anapenda mwanamke bikra au mwenye body counts ndogo

Kweli probability ya mwenye body counts kubwa kuwa bora ipo ila approximately equal to zero or negligible kabisa.
 
Sio mimi hata kiroho tuna shauriwa to date na bikra, ina maana huyo aliyeweka msingi wa kuoa bikra ambaye ni muumbaji (Mungu) naye alikosea?

Kweli probability ya mwenye body counts kubwa kuwa bora ipo ila approximately equal to zero or negligible kabisa.
Huku umeingia kwenye dini which is out of context. Sijaongelea mke kwenye mada Wala Kuoa. Huwezi kuexpect kuoa bikra afu we mwenyewe sio bikra na umefanya tendo na Bikra na hujamuoa. Hao mabikra unataka watokee wapi... Kingine hizi ni sheria za mababu wa kale na zilikuwa na umuhimu wake kipindi hicho kutokana na Hali ya kijamii iliyopo. Leo hii kulazimisha kuoa bikra inafanya watu wanaolewa na miaka 12 kisa mtume alilala na mtoto wa miaka 9, so tunaongea mahusiano ya kingono ya kiutu uzima na sio ya kidini au ndoa
 
Kwani usizini ile kwako ina maana gani?
Mbona unaleta jinsia mbili, hoja yako ilihusu jinsia moja nayo ni mwanamke bikira.

Swala la kuzini lipo kwa wote me na ke hata kama wapo ktk ndoa wanaweza kuzini na ndio maana ya onyo hilo.

Turudi ktk hoja yako, ni kitabu gani kinaagiza tuoe bikira?
 
Huku umeingia kwenye dini which is out of context. Sijaongelea mke kwenye mada Wala Kuoa. Huwezi kuexpect kuoa bikra afu we mwenyewe sio bikra na umefanya tendo na Bikra na hujamuoa. Hao mabikra unataka watokee wapi... Kingine hizi ni sheria za mababu wa kale na zilikuwa na umuhimu wake kipindi hicho kutokana na Hali ya kijamii iliyopo. Leo hii kulazimisha kuoa bikra inafanya watu wanaolewa na miaka 12 kisa mtume alilala na mtoto wa miaka 9, so tunaongea mahusiano ya kingono ya kiutu uzima na sio ya kidini au ndoa
Sio kuoa tu hata kudate, kwani hata ndoa zina anzia kwenye uchumba.

Ndoa,ngono ni mambo ya kiroho na siku zote mambo ya kiroho hayanaga ubunifu, kwani siku zote yatabaki kuwa kama yalivyo andikwa kwenye vitabu, so iwe jamii ya zamani au ya sasa still misingi yake imejengwa ktk maswala ya kiroho.

Mbona bikra wako,japo wachache ila wapo na ndio maana nikasema ukikosa bikra mtafute atleast mwenye low body counts, cha msingi uwashirikishe watu wakushauri.

So kwa kuwa ww sio bikra basi utaoa mwanamke ambaye jamvi la wageni?
(Ila inawezekana kwani kwenye mapenzi kila mtu na moyo wake).

Ila majority ya wanaume wana prefer either bikra au akikosa kabisa awe low body.counts
 
Why wewe usiwe na low body count, why umjudge mwanamke kwa sexual relationships zenu...so mwanamke kwako ni shimo la kumwagia taka tu...au...plus unaniambia mambo ya dini as if unasema kitu Cha maana hizi ni sheria za watu wa jamii fulani ndo maana dini zipo nyingi rejea kwenye mada husika Kama unataka bikra slim tafuta Dogo wa miaka 10 muowe afu uone Kati ya yeye na mwanamke mwenye experience ya mahusiano nani ni mke Bora acha kutumia dhana za zamani za kuchizika na Bikra
 
Duu kwa hiyo kuchepuka kwenye ndoa ndio kuzini, je na kushiriki tendo la ndoa kabla ya ndoa napo tuiteje?
Ndoa ni mkataba tu ka mwingine. Je ukicheza mpira kabla hujasajiliwa kucheza timu ya mpira ni Kosa...if not then rejea mada husika
 
Back
Top Bottom