Hivi wanawake wa siku hizi wanajali kuhusu show kali au cha muhimu hela tu?

Wamama wa fifty plus wanapenda show. Hivi vishankakupe hawajali show, wao pesa tu.
 
Asante kwa elimu hiyo
 
Wanataka vyote na zaidi ya hapa kwani mwanamke siku zote haridhiki.
 
Mi nachojua na nina uzoefu nacho mademu wengi wanapiga show kali kwa wenye hela. Ukiwa huna hela ndio utamuona gogo.
 
Mpumbavu huyo na slave mentality yake ya kale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…