Chief Kumbyambya
JF-Expert Member
- Jun 16, 2022
- 719
- 2,408
- Thread starter
-
- #21
Kaka muhimbili wanatoa hiyo huduma siku hizi atakua ni mteja kindaki ndaki wa huko labda aweke picha tuikague maana makalio ya oparesheni tunayajua na Yale OG tunayajua..Usiweke picha bei ya tangazo itakua kubwa zaidi.
Lipia tangazo kwa mods.
Pale nilikuona mzee si ndo wewe ulikuwa unakula ice cream ya ukwaju na andazi??Ulinisikitisha sana ulivyokuwa unapiga makelele na sauti yako kama mtu mwenye mafua ya ndege mimi ni bwana mmoja nilikuwa pembeni yako nimevaa bagarashia na miwani
Vipi ndo batch ya kwanza Mlonganziwise nini, 😀 Utasumbuaaa hongera sana kwa kuweka bustaTuachane na story ya wema nijibu swali lako la kuhusu sisi wenye makalio makubwa tunajionaje!!
Binafsi najiona nimebarikiwa sana, baraka kubwaa kumbwaa. Nikipita mahali attention ya watu wengi unakuwa kwangu, ni raha sana asikwambie mtu. Sio ile unaishi kwama hauishi yaani unapita kama vile bado haujapita. Yaani mimi nikipita napata mashabiki wa kunisindikiza kwa macho ya tamaa. Yaani ni raha sana.
Haya wale wa “weka picha” nawasubiri.
Mkuu tako muhimu tuacheni wivuNisiwafiche, Nyie ni vibonge tuu... Msijione kama Nyie ndo namna gani vipi sio.... Mnariiiinga kisa hayo manyama? Nyie ni vibonge tu kama vibonge wengine.
Leo nimeingia tawi moja hivi la NMB hapa town, Ile nafika tu nakuta teller anapiga umbea na mwenzie wa dirisha lingine na sio kwamba hajaniona... Kaniona sana na ana bonge la tako hivyo pozi nyiiingi anafikiri tako litambeba.... kakazana huyo, " shostii nakwambia wema Kawa kama bibiii.... Bora hata alivyokuwa mnene na umbo lake alikuwa anavutia balaa ila sio sasa" Mi nimetulia tu namchora, nikasema leo wacha nimtolee uvivu.
Shostii yake alivyoniona akakata stori Ili nihudumiwe kwanza ndo yule tako anageuka eti karibu kaka.... Nikamwambia tumalize kwanza za wema.. kumbe angebaki vile vile angekuwa mzuri sio saizi eti ee? Kuanzia hapo akajua tu mjuba nimemaind akajishtukia eti samahani kaka angu karibu nikuhudumie..
Nikamwambia hakuna samahani hapo naongea Kwa sauti watu wote mpaka ofisini Kwa meneja wao wanasikia... Dada kakazana anaongea sauti ya chini Ili nipunguze Mimi ndo kwaaanza namuuliza... Vipi kajala unamuonaje bibie! Nae akipungua si atakua bibie kama wema tu?
Meneja wao ikabidi atoke, akauliza kuna nini hapa? Nikamwambia nipo na mfanya kazi wako hapa badaka ya kunihudumia amekazana anapia stori za wema sepetu yeye na mwenzie dirisha la pili hapo ndo ikabidi na Mimi niendeleze. Meneja akajua kosa ni lao akaomba radhi sana na akamwambia yule tako baada ya kazi unione shwaini wewe..... (Nimemnukuu)
Nyie ni vibonge tu, natumai atatia adabu na kesho naenda tena.
Acha yule bwege wa ice cream mi ni yule niliyekwambia unaongea sana mpaka mate yanalowanisha wateja wenginePale nilikuona mzee si ndo wewe ulikuwa unakula ice cream ya ukwaju na andazi??
Comment of the year..😂Hlo umbo unalo online au offline
Hebu picha tuone tako lake kubwa kiasi gani?Nisiwafiche, Nyie ni vibonge tuu... Msijione kama Nyie ndo namna gani vipi sio.... Mnariiiinga kisa hayo manyama? Nyie ni vibonge tu kama vibonge wengine.
Leo nimeingia tawi moja hivi la NMB hapa town, Ile nafika tu nakuta teller anapiga umbea na mwenzie wa dirisha lingine na sio kwamba hajaniona... Kaniona sana na ana bonge la tako hivyo pozi nyiiingi anafikiri tako litambeba.... kakazana huyo, " shostii nakwambia wema Kawa kama bibiii.... Bora hata alivyokuwa mnene na umbo lake alikuwa anavutia balaa ila sio sasa" Mi nimetulia tu namchora, nikasema leo wacha nimtolee uvivu.
Shostii yake alivyoniona akakata stori Ili nihudumiwe kwanza ndo yule tako anageuka eti karibu kaka.... Nikamwambia tumalize kwanza za wema.. kumbe angebaki vile vile angekuwa mzuri sio saizi eti ee? Kuanzia hapo akajua tu mjuba nimemaind akajishtukia eti samahani kaka angu karibu nikuhudumie..
Nikamwambia hakuna samahani hapo naongea Kwa sauti watu wote mpaka ofisini Kwa meneja wao wanasikia... Dada kakazana anaongea sauti ya chini Ili nipunguze Mimi ndo kwaaanza namuuliza... Vipi kajala unamuonaje bibie! Nae akipungua si atakua bibie kama wema tu?
Meneja wao ikabidi atoke, akauliza kuna nini hapa? Nikamwambia nipo na mfanya kazi wako hapa badaka ya kunihudumia amekazana anapia stori za wema sepetu yeye na mwenzie dirisha la pili hapo ndo ikabidi na Mimi niendeleze. Meneja akajua kosa ni lao akaomba radhi sana na akamwambia yule tako baada ya kazi unione shwaini wewe..... (Nimemnukuu)
Nyie ni vibonge tu, natumai atatia adabu na kesho naenda tena.
Unaongelea kalio bila picha? Anyway kuna big ass women na woman with a big ass.Nisiwafiche, Nyie ni vibonge tuu... Msijione kama Nyie ndo namna gani vipi sio.... Mnariiiinga kisa hayo manyama? Nyie ni vibonge tu kama vibonge wengine.
Leo nimeingia tawi moja hivi la NMB hapa town, Ile nafika tu nakuta teller anapiga umbea na mwenzie wa dirisha lingine na sio kwamba hajaniona... Kaniona sana na ana bonge la tako hivyo pozi nyiiingi anafikiri tako litambeba.... kakazana huyo, " shostii nakwambia wema Kawa kama bibiii.... Bora hata alivyokuwa mnene na umbo lake alikuwa anavutia balaa ila sio sasa" Mi nimetulia tu namchora, nikasema leo wacha nimtolee uvivu.
Shostii yake alivyoniona akakata stori Ili nihudumiwe kwanza ndo yule tako anageuka eti karibu kaka.... Nikamwambia tumalize kwanza za wema.. kumbe angebaki vile vile angekuwa mzuri sio saizi eti ee? Kuanzia hapo akajua tu mjuba nimemaind akajishtukia eti samahani kaka angu karibu nikuhudumie..
Nikamwambia hakuna samahani hapo naongea Kwa sauti watu wote mpaka ofisini Kwa meneja wao wanasikia... Dada kakazana anaongea sauti ya chini Ili nipunguze Mimi ndo kwaaanza namuuliza... Vipi kajala unamuonaje bibie! Nae akipungua si atakua bibie kama wema tu?
Meneja wao ikabidi atoke, akauliza kuna nini hapa? Nikamwambia nipo na mfanya kazi wako hapa badaka ya kunihudumia amekazana anapia stori za wema sepetu yeye na mwenzie dirisha la pili hapo ndo ikabidi na Mimi niendeleze. Meneja akajua kosa ni lao akaomba radhi sana na akamwambia yule tako baada ya kazi unione shwaini wewe..... (Nimemnukuu)
Nyie ni vibonge tu, natumai atatia adabu na kesho naenda tena.
Plz Hannah weka picha tuyajenge mi na weye. Umenivuta kwa maneno imebaki tu picha nizame mazimaTuachane na story ya wema nijibu swali lako la kuhusu sisi wenye makalio makubwa tunajionaje!!
Binafsi najiona nimebarikiwa sana, baraka kubwaa kumbwaa. Nikipita mahali attention ya watu wengi unakuwa kwangu, ni raha sana asikwambie mtu.
Sio ile unaishi kwama hauishi yaani unapita kama vile bado haujapita. Yaani mimi nikipita napata mashabiki wa kunisindikiza kwa macho ya tamaa. Yaani ni raha sana.
Haya wale wa “weka picha” nawasubiri.
Aaaah wapi huu mtego hatuingii masta….Tuachane na story ya wema nijibu swali lako la kuhusu sisi wenye makalio makubwa tunajionaje!!
Binafsi najiona nimebarikiwa sana, baraka kubwaa kumbwaa. Nikipita mahali attention ya watu wengi unakuwa kwangu, ni raha sana asikwambie mtu.
Sio ile unaishi kwama hauishi yaani unapita kama vile bado haujapita. Yaani mimi nikipita napata mashabiki wa kunisindikiza kwa macho ya tamaa. Yaani ni raha sana.
Haya wale wa “weka picha” nawasubiri.
AbsolutelyUnaongelea kalio bila picha? Anyway kuna big ass women na woman with a big ass.
ila kuna wene macato wana makusudi. wanaume tunanyanyaswa sana kijinsia na hawa watu aisee
"Mwanaume kuwa mbeya haipendezi "Nisiwafiche, Nyie ni vibonge tuu... Msijione kama Nyie ndo namna gani vipi sio.... Mnariiiinga kisa hayo manyama? Nyie ni vibonge tu kama vibonge wengine.
Leo nimeingia tawi moja hivi la NMB hapa town, Ile nafika tu nakuta teller anapiga umbea na mwenzie wa dirisha lingine na sio kwamba hajaniona... Kaniona sana na ana bonge la tako hivyo pozi nyiiingi anafikiri tako litambeba.... kakazana huyo, " shostii nakwambia wema Kawa kama bibiii.... Bora hata alivyokuwa mnene na umbo lake alikuwa anavutia balaa ila sio sasa" Mi nimetulia tu namchora, nikasema leo wacha nimtolee uvivu.
Shostii yake alivyoniona akakata stori Ili nihudumiwe kwanza ndo yule tako anageuka eti karibu kaka.... Nikamwambia tumalize kwanza za wema.. kumbe angebaki vile vile angekuwa mzuri sio saizi eti ee? Kuanzia hapo akajua tu mjuba nimemaind akajishtukia eti samahani kaka angu karibu nikuhudumie..
Nikamwambia hakuna samahani hapo naongea Kwa sauti watu wote mpaka ofisini Kwa meneja wao wanasikia... Dada kakazana anaongea sauti ya chini Ili nipunguze Mimi ndo kwaaanza namuuliza... Vipi kajala unamuonaje bibie! Nae akipungua si atakua bibie kama wema tu?
Meneja wao ikabidi atoke, akauliza kuna nini hapa? Nikamwambia nipo na mfanya kazi wako hapa badaka ya kunihudumia amekazana anapia stori za wema sepetu yeye na mwenzie dirisha la pili hapo ndo ikabidi na Mimi niendeleze. Meneja akajua kosa ni lao akaomba radhi sana na akamwambia yule tako baada ya kazi unione shwaini wewe..... (Nimemnukuu)
Nyie ni vibonge tu, natumai atatia adabu na kesho naenda tena.
Simshauri aweke picha mkuu, bei ya tangazo itakus kubwa na kama ni ya muhimbili atajiharibia soko.Kaka muhimbili wanatoa hiyo huduma siku hizi atakua ni mteja kindaki ndaki wa huko labda aweke picha tuikague maana makalio ya oparesheni tunayajua na Yale OG tunayajua..