Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Vipi ndo batch ya kwanza Mlonganziwise nini, [emoji3] Utasumbuaaa hongera sana kwa kuweka busta
Busta fake wala haishtui. Atasumbua wa kuja mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi ndo batch ya kwanza Mlonganziwise nini, [emoji3] Utasumbuaaa hongera sana kwa kuweka busta
Sasa ulikataa Nini kuwa ni tangazo?Hivi ulipata usingizi kweli? Au ndio umelala ukiumia mimi kuwa na taaako[emoji23][emoji23].
Usijali. Acha nijipigie promo wateja ni wengi siwezi kuiba wakwako.
Batch ya kwanza tayari kwani😀😀Vipi ndo batch ya kwanza Mlonganziwise nini, 😀 Utasumbuaaa hongera sana kwa kuweka busta
Heri yako huhitaji sindano...Mungu alimalizagaBatch ya kwanza tayari kwani😀😀
Haa mimi huyu? Najiandaa niwepo batch ya 2😀😀Heri yako huhitaji sindano...Mungu alimalizaga
Utaharibu mchuzi sasa...unashindana na Nicole?😂Haa mimi huyu? Najiandaa niwepo batch ya 2😀😀
...😂😂😂😂Samahani mkuu,
Hapa shida yako ni kucheleweshewa huduma ama kuwasema wadada wa watu wenye macalio marefu kama mvua..??