Hivi wapo marafiki wazuri JF zaidi ya huyu niliyempata mimi?

Hivi wapo marafiki wazuri JF zaidi ya huyu niliyempata mimi?

wivu tu😊😊.kwan kina Hawa wote magumashi😑 huoni mtoa mada anaendelea kumsifu humu daily..😂labdq ww hujabahatika tu my dear..mimi mwenyew nimepata rafiki humu tunatembeleana tunapika pamoja tunaalikana.. wapo bwana!
Unaona sasa! Wivu unamsumbua Nokia83
 
Back
Top Bottom