Hivi Wastara ametumia vigezo gani kumkubalia Dudubaya?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Joined
Sep 7, 2016
Posts
25,968
Reaction score
36,044
Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ?

Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio couple mbovu zaidi hapa nchini kuliko couple yoyote ile ya watu maarufu.

Sielewi huyu dada ametumia vigezo vipi au ameshauriwa na nani akubali kuwa mpenzi wa dudubaya.

Kwanza hawaendani hata kidogo kuanzia mitazamo, dini na hulka zao binafsi.

Huyu Dudubaya ambaye juzijuzi tu hapa ametoka kumdhalilisha mtoto na mke wake kwa kuanika hadharani huyo mtoto namna alivyopatikana kwamba mama yake alikuwa mapepe mapepe yani malaya na hata huyo mtoto amepatikana tu bahati mbaya baada ya kufanya mapenzi kwenye treni.

Kiufupi yale maneno kwa mtu anayejitambua hawezi kuzungumza vile tena mbaya zaidi mbele ya kadamnasi unadhani huyo mtoto ameathirika vipi kisaikolojia?

Wastara kwa namna anavyoishi, kupenda kuomba omba hovyo na mambo mengine ya sirini anayoyajua yeye, basi ategemee kudharirika vibaya mno wakipishana kauli.

Ukitazama background ya Wastara kuolewa olewa hovyo na kuachika mara kwa mara tena na watu wa maana kabisa sidhani kama kwa dudubaya watawezana, na pia itamfanya kuwa kondoo sana maana akijikoroga kidogo tu siri zake zote nje na huenda tukajua mpaka sababu za yeye kutodumu kwenye ndoa .

Kwa kifupi kama sio utani na wanatoka kweli kimapenzi basi hakika ni couple yao ni vichekesho na hawawezi kutoboa hata miezi sita.
 
MAPENZI UPOFU, ila HAPO HATA Mimi nilipata MASHAKA, HUYU dudu NAYE mjua, ATAWEZA WALAU kumstiri wastara? Ila nampa hongera wastara, MAISHA ya single mama ni MAGUMU ikizingatiwa hali ya kiafya ya wastara, anaahitaji MTU WA kumliwaza, ACHANA KITU upweke MKUU, Kuna MUDA unatamani UPATE WALAU hata mtoto WA kuwa una cheza NAE TU kukuliwaza yuko SAWA, KWA hali yake
 
Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio couple mbovu zaidi hapa nchini kuliko couple yoyote ile ya watu maarufu.

Sielewi huyu dada ametumia vigezo vipi au ameshauriwa na nani akubali kuwa mpenzi wa dudubaya.

Kwanza hawaendani hata kidogo kuanzia mitazamo, dini na hulka zao binafsi.

Huyu dudubaya ambaye juzijuzi tu hapa ametoka kumdhalilisha mtoto na mke wake kwa kuanika hadharani huyo mtoto namna alivyopatikana kwamba mama yake alikuwa mapepe mapepe yani malaya na hata huyo mtoto amepatikana tu bahati mbaya baada ya kufanya mapenzi kwenye treni.

Kiufupi yale maneno kwa mtu anayejitambua hawezi kuzungumza vile tena mbaya zaidi mbele ya kadamnasi unadhani huyo mtoto ameathirika vipi kisaikolojia?

Wastara kwa namna anavyoishi, kupenda kuomba omba hovyo na mambo mengine ya sirini anayoyajua yeye, basi ategemee kudharirika vibaya mno wakipishana kauli.

Ukitazama background ya Wastara kuolewa olewa hovyo na kuachika mara kwa mara tena na watu wa maana kabisa sidhani kama kwa dudubaya watawezana, na pia itamfanya kuwa kondoo sana maana akijikoroga kidogo tu siri zake zote nje na huenda tukajua mpaka sababu za yeye kutodumu kwenye ndoa .

Kwa kifupi kama sio utani na wanatoka kweli kimapenzi basi hakika ni couple yao ni vichekesho na hawawezi kutoboa hata miezi sita.
Ngoja na me nianze kusema KONKI KONKI KONKI, huenda mademu wanaaminia huo ujinga. Si unajua hua hawaeleweki hawa Watu.
 
MAPENZI UPOFU, ila HAPO HATA Mimi nilipata MASHAKA, HUYU dudu NAYE mjua, ATAWEZA WALAU kumstiri wastara? Ila nampa hongera wastara, MAISHA ya single mama ni MAGUMU ikizingatiwa hali ya kiafya ya wastara, anaahitaji MTU WA kumliwaza, ACHANA KITU upweke MKUU, Kuna MUDA unatamani UPATE WALAU hata mtoto WA kuwa una cheza NAE TU kukuliwaza yuko SAWA, KWA hali yake
Sasa huyo dudubaya alivyo mlevi hivyo atamsitiri kwa kipi zaidi ya kumtia tu stress.
 
Sababu mtu kama dudu baya anapataje pisi, bora hata angekua na hela.. hela zenyewe hana. Makochi ya home kwake kama ofisi ya Serikali ya kijiji cha wapi sijui.
Anasema ana bilion 2 kwenye account yake.

Juzi kapost kaenda India kufanyiwa matibabu ya uti wa mgongo.

Kumbuka gharama si chini ya milioni 50 ,kuanzia nauli,malazi na matibabu.
 
Juma nature alipewa Altezza mpya na madale.. awe anapigia misele anavoenda kushinda pale tongwe records, Unataka kusema dudu baya hawezi kua amepewa 50M na wasamalia wema akatibiwe???
 
Siwezi kusema kapewa au hajapewa maana safari yake hakuchangisha mtu , yani hakuwa omba omba kama wasanii wenzake kama huyo wastara au mkubwafella
 
Anasema ana bilion 2 kwenye account yake.

Juzi kapost kaenda India kufanyiwa matibabu ya uti wa mgongo.

Kumbuka gharama si chini ya milioni 50 ,kuanzia nauli,malazi na matibabu.
Kwanza siamini nipo macho mpaka saa hii namuongelea mtu wa ajabu kama dudu baya. Ndomaana pesa inakua ngumu kupatikana siku hizi kudadeki
 
Back
Top Bottom