hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,393
Dah 😁Haya kaolewe wewe sasa! Huu ndio uchawi wenyewe sasa. 😁
Dah 😁Haya kaolewe wewe sasa! Huu ndio uchawi wenyewe sasa. 😁
Oyaaa 😄WATASEMA UNAMUONEA WIVU MWANAMKE MWENZIO KWA RAHA ANAZOENDA KUZIPATA 😂😂😂
Kmmk 🙌🙌😁😁Brother kwani vipi mwanetu eeh huyo War Star Raha alikunyima chini yake mpaka umuonee wivu hivyo kwamba ulikua unataka kummega au kwamba dudubaaaya ulitaka awe bwana wako ila ndio hivyo akakutolea nje na hakukugonga? Sorry, kwa kukuuliza maswali magumu ila jinsia yako ni ipi?
HAO WAHUNI SIKU ZOTE WALIKUA WAPI? MBONA HUYU DEMU YUPO TU miaka YOte, wamuache DUDU ale Raha, SEMA MICHANGO ikiombwa KWA Sasa UMAKINI uNAHITAJIKA DUDU tenaDudubaya ana matatizo ya pingili "Ataweza kupiga MITI"? Kama akishindwa wahuni "WATAMPITIA WASTARA KAMA UPEPO" na kama uhusiano wao ukivunjika kina Chichiman watafurahi sana.
Noma sana mkuu wamependana wenyewe maisha yasonge wafike mbaliDUDU BAYA KONKI, MZEE WA KA AZAM ENERGY, HAHAHAHAHA DADA YETU AJIPANGE, ALAFU ETI WATOTO WA WASTARA NAO WANAMKUMBATIA MSHUA WA KAMBO HAHAHA, KUNA FAMILIA BHANA BASI TU, MUNGU QMTANGULIE DADA NA SHEMEJI YETU MPYA. NIMEJIULIZA TU, HIVI WEWE NDO KAKA, ALAFU WASTARA ANAKULETEA SHEMEJI MTU DUDU BAYA, UTAFANYAJE?
Hawezi kuacha huyo.Hv huyo dada umeacha kulialia na kutia huruma online?
ChaiTofauti ya Wastara na Dudubaya ni dini tu
Kiufupi ni perfect combo,chupa na mfuniko hao
Mkuu nipw hio stori SIJUI, kumbe HUYU manzi Alisha pita na mbunge, NILIJUA z anto tu yule msaniiHuyu dem alimchezea vibaya sanaa yule mbunge wa zanzibar sjui ulijua hatokuja kua mzee pumbavu kabisa manamake kama hili...
Lilikuwa ni suala la muda tu.kimeshaumana. Dudubaya kamuita omba omba🤣🤣🤣🤣🤣
ChaiLilikuwa ni suala la muda tu.
Kisa Nini tena? Kaomba pesa ya matumizi?kimeshaumana. Dudubaya kamuita omba omba🤣🤣🤣🤣🤣
Kisa Nini tena? Kaomba pesa ya matumizi?