Hivi Wastara ametumia vigezo gani kumkubalia Dudubaya?

Hivi Wastara ametumia vigezo gani kumkubalia Dudubaya?

Yupo desperate haswa ningekuwa Wastra hata kiutani/kiki nisingeruhusu hili litokee 😏😏! Halafu sijui haijui historia ya dudu na yule mwanamke wake alikuwa mganga wa kienyeji Kinondoni!
 
Mkuu naona ushaanza kumuonea wivu wastara vp unataka na wewe ujiweke kwa Dudu?
 
Back
Top Bottom