Hivi Wastara ametumia vigezo gani kumkubalia Dudubaya?

Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ?

Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio couple mbovu zaidi hapa nchini kuliko couple yoyote ile ya watu maarufu.

Sielewi huyu dada ametumia vigezo vipi au ameshauriwa na nani akubali kuwa mpenzi wa dudubaya.

Kwanza hawaendani hata kidogo kuanzia mitazamo, dini na hulka zao binafsi.

Huyu Dudubaya ambaye juzijuzi tu hapa ametoka kumdhalilisha mtoto na mke wake kwa kuanika hadharani huyo mtoto namna alivyopatikana kwamba mama yake alikuwa mapepe mapepe yani malaya na hata huyo mtoto amepatikana tu bahati mbaya baada ya kufanya mapenzi kwenye treni.

Kiufupi yale maneno kwa mtu anayejitambua hawezi kuzungumza vile tena mbaya zaidi mbele ya kadamnasi unadhani huyo mtoto ameathirika vipi kisaikolojia?

Wastara kwa namna anavyoishi, kupenda kuomba omba hovyo na mambo mengine ya sirini anayoyajua yeye, basi ategemee kudharirika vibaya mno wakipishana kauli.

Ukitazama background ya Wastara kuolewa olewa hovyo na kuachika mara kwa mara tena na watu wa maana kabisa sidhani kama kwa dudubaya watawezana, na pia itamfanya kuwa kondoo sana maana akijikoroga kidogo tu siri zake zote nje na huenda tukajua mpaka sababu za yeye kutodumu kwenye ndoa .

Kwa kifupi kama sio utani na wanatoka kweli kimapenzi basi hakika ni couple yao ni vichekesho na hawawezi kutoboa hata miezi sita.
MAMBA, alipata umaarufu kipindi hicho kwa sababu soko la muziki kipindi hicho halikuwa na wasanii(mfano yeye) /soko lilikuwa na wanamuziki wachache.

Sasa hivi Anamtumia/wanatumiana na Wastara kujaribu Kurudi Mjini ama kurudi sokoni..ili watengeneze content wasikike/wafuatiliwe...

Sioni kazi watafanya kwa pamoja tofauti na hiyo!

Kutengeneza jina jipya ( msanii) kwa kizazi hiki inatakiwa investment kubwa sana!

( wao wana majina tayari..na huo ni mtaji mkubwa sana! Kwa kipindi tulichonacho sasa)

Wanajaribu kutumia majina yao warudi sokoni!
 
MAMBA, alipata umaarufu kipindi hicho kwa sababu soko la muziki kipindi hicho halikuwa na wasanii(mfano yeye) /soko lilikuwa na wanamuziki wachache.

Sasa hivi Anamtumia/wanatumiana na Wastara kujaribu Kurudi Mjini ama kurudi sokoni..ili watengeneze content wasikike/wafuatiliwe...

Sioni kazi watafanya kwa pamoja tofauti na hiyo!

Kutengeneza jina jipya ( msanii) kwa kizazi hiki inatakiwa investment kubwa sana!

Wanajaribu kutumia majina yao warudi sokoni!
Hili linawezekana pia.
 
Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ?

Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio couple mbovu zaidi hapa nchini kuliko couple yoyote ile ya watu maarufu.

Sielewi huyu dada ametumia vigezo vipi au ameshauriwa na nani akubali kuwa mpenzi wa dudubaya.

Kwanza hawaendani hata kidogo kuanzia mitazamo, dini na hulka zao binafsi.

Huyu Dudubaya ambaye juzijuzi tu hapa ametoka kumdhalilisha mtoto na mke wake kwa kuanika hadharani huyo mtoto namna alivyopatikana kwamba mama yake alikuwa mapepe mapepe yani malaya na hata huyo mtoto amepatikana tu bahati mbaya baada ya kufanya mapenzi kwenye treni.

Kiufupi yale maneno kwa mtu anayejitambua hawezi kuzungumza vile tena mbaya zaidi mbele ya kadamnasi unadhani huyo mtoto ameathirika vipi kisaikolojia?

Wastara kwa namna anavyoishi, kupenda kuomba omba hovyo na mambo mengine ya sirini anayoyajua yeye, basi ategemee kudharirika vibaya mno wakipishana kauli.

Ukitazama background ya Wastara kuolewa olewa hovyo na kuachika mara kwa mara tena na watu wa maana kabisa sidhani kama kwa dudubaya watawezana, na pia itamfanya kuwa kondoo sana maana akijikoroga kidogo tu siri zake zote nje na huenda tukajua mpaka sababu za yeye kutodumu kwenye ndoa .

Kwa kifupi kama sio utani na wanatoka kweli kimapenzi basi hakika ni couple yao ni vichekesho na hawawezi kutoboa hata miezi sita.
Kwani Wastara ameolewa na kuachika mara ngapi? Aliolewa na watu gani wa maana kwa mfano?
 
Mambo yao yanakuhusu nini?
 
A

Acha watu wapigane tudude weweeee. Hailipiwi kodi ile kitu
 
Kiongozi tafuta ela uhuru wa mtu hauingiliwi
 
sasa we mzee mbona kama umekurupuka na mapenzi ya watu kama unataka olewa wewe...hao ni wazazi wa mtoto mkubwa kama wameamua weka tofauti pembeni sisi ni nani kuingilia
 
Kwa kifupi kama sio utani na wanatoka kweli kimapenzi basi hakika ni couple yao ni vichekesho na hawawezi kutoboa hata miezi sita.
Brother kwani vipi mwanetu eeh huyo War Star Raha alikunyima chini yake mpaka umuonee wivu hivyo kwamba ulikua unataka kummega au kwamba dudubaaaya ulitaka awe bwana wako ila ndio hivyo akakutolea nje na hakukugonga? Sorry, kwa kukuuliza maswali magumu ila jinsia yako ni ipi?
 
Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ?

Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio couple mbovu zaidi hapa nchini kuliko couple yoyote ile ya watu maarufu.

Sielewi huyu dada ametumia vigezo vipi au ameshauriwa na nani akubali kuwa mpenzi wa dudubaya.

Kwanza hawaendani hata kidogo kuanzia mitazamo, dini na hulka zao binafsi.

Huyu Dudubaya ambaye juzijuzi tu hapa ametoka kumdhalilisha mtoto na mke wake kwa kuanika hadharani huyo mtoto namna alivyopatikana kwamba mama yake alikuwa mapepe mapepe yani malaya na hata huyo mtoto amepatikana tu bahati mbaya baada ya kufanya mapenzi kwenye treni.

Kiufupi yale maneno kwa mtu anayejitambua hawezi kuzungumza vile tena mbaya zaidi mbele ya kadamnasi unadhani huyo mtoto ameathirika vipi kisaikolojia?

Wastara kwa namna anavyoishi, kupenda kuomba omba hovyo na mambo mengine ya sirini anayoyajua yeye, basi ategemee kudharirika vibaya mno wakipishana kauli.

Ukitazama background ya Wastara kuolewa olewa hovyo na kuachika mara kwa mara tena na watu wa maana kabisa sidhani kama kwa dudubaya watawezana, na pia itamfanya kuwa kondoo sana maana akijikoroga kidogo tu siri zake zote nje na huenda tukajua mpaka sababu za yeye kutodumu kwenye ndoa .

Kwa kifupi kama sio utani na wanatoka kweli kimapenzi basi hakika ni couple yao ni vichekesho na hawawezi kutoboa hata miezi sita.

Tofauti ya Wastara na Dudubaya ni dini tu
Kiufupi ni perfect combo,chupa na mfuniko hao
 
Sasa Wastara mwenyewe ana ubora gani ukimlinganisha na huyo Dudu Baya?

Yao, ni match made in heaven. Wanaendana kabisa.
 
Anasema ana bilion 2 kwenye account yake.

Juzi kapost kaenda India kufanyiwa matibabu ya uti wa mgongo.

Kumbuka gharama si chini ya milioni 50 ,kuanzia nauli,malazi na matibabu.
Kaenda India kutahiriwa aliogopa hospital za bongo watatoa siri
 
Back
Top Bottom