BIG BROTHER ALEX
JF-Expert Member
- Sep 24, 2025
- 1,293
- 2,265
Yes YUPO India NIMEIONA post insta, ni INSHU ya pingili za mgongo, ila cha KUSHANGAZA hajajipeleka kawalipa WATU WA kampuni flani NDO wamempeleka NDO mana nika KWAMBIA Hilo tangazo mkuuYupo India kweli.
Na kuhusu tangazo nani ampe tangazo dudubaya? 🤣🤣🤣🤣🤣
MAMBA, alipata umaarufu kipindi hicho kwa sababu soko la muziki kipindi hicho halikuwa na wasanii(mfano yeye) /soko lilikuwa na wanamuziki wachache.Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ?
Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio couple mbovu zaidi hapa nchini kuliko couple yoyote ile ya watu maarufu.
Sielewi huyu dada ametumia vigezo vipi au ameshauriwa na nani akubali kuwa mpenzi wa dudubaya.
Kwanza hawaendani hata kidogo kuanzia mitazamo, dini na hulka zao binafsi.
Huyu Dudubaya ambaye juzijuzi tu hapa ametoka kumdhalilisha mtoto na mke wake kwa kuanika hadharani huyo mtoto namna alivyopatikana kwamba mama yake alikuwa mapepe mapepe yani malaya na hata huyo mtoto amepatikana tu bahati mbaya baada ya kufanya mapenzi kwenye treni.
Kiufupi yale maneno kwa mtu anayejitambua hawezi kuzungumza vile tena mbaya zaidi mbele ya kadamnasi unadhani huyo mtoto ameathirika vipi kisaikolojia?
Wastara kwa namna anavyoishi, kupenda kuomba omba hovyo na mambo mengine ya sirini anayoyajua yeye, basi ategemee kudharirika vibaya mno wakipishana kauli.
Ukitazama background ya Wastara kuolewa olewa hovyo na kuachika mara kwa mara tena na watu wa maana kabisa sidhani kama kwa dudubaya watawezana, na pia itamfanya kuwa kondoo sana maana akijikoroga kidogo tu siri zake zote nje na huenda tukajua mpaka sababu za yeye kutodumu kwenye ndoa .
Kwa kifupi kama sio utani na wanatoka kweli kimapenzi basi hakika ni couple yao ni vichekesho na hawawezi kutoboa hata miezi sita.
Hili linawezekana pia.MAMBA, alipata umaarufu kipindi hicho kwa sababu soko la muziki kipindi hicho halikuwa na wasanii(mfano yeye) /soko lilikuwa na wanamuziki wachache.
Sasa hivi Anamtumia/wanatumiana na Wastara kujaribu Kurudi Mjini ama kurudi sokoni..ili watengeneze content wasikike/wafuatiliwe...
Sioni kazi watafanya kwa pamoja tofauti na hiyo!
Kutengeneza jina jipya ( msanii) kwa kizazi hiki inatakiwa investment kubwa sana!
Wanajaribu kutumia majina yao warudi sokoni!
Kwani Wastara ameolewa na kuachika mara ngapi? Aliolewa na watu gani wa maana kwa mfano?Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ?
Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio couple mbovu zaidi hapa nchini kuliko couple yoyote ile ya watu maarufu.
Sielewi huyu dada ametumia vigezo vipi au ameshauriwa na nani akubali kuwa mpenzi wa dudubaya.
Kwanza hawaendani hata kidogo kuanzia mitazamo, dini na hulka zao binafsi.
Huyu Dudubaya ambaye juzijuzi tu hapa ametoka kumdhalilisha mtoto na mke wake kwa kuanika hadharani huyo mtoto namna alivyopatikana kwamba mama yake alikuwa mapepe mapepe yani malaya na hata huyo mtoto amepatikana tu bahati mbaya baada ya kufanya mapenzi kwenye treni.
Kiufupi yale maneno kwa mtu anayejitambua hawezi kuzungumza vile tena mbaya zaidi mbele ya kadamnasi unadhani huyo mtoto ameathirika vipi kisaikolojia?
Wastara kwa namna anavyoishi, kupenda kuomba omba hovyo na mambo mengine ya sirini anayoyajua yeye, basi ategemee kudharirika vibaya mno wakipishana kauli.
Ukitazama background ya Wastara kuolewa olewa hovyo na kuachika mara kwa mara tena na watu wa maana kabisa sidhani kama kwa dudubaya watawezana, na pia itamfanya kuwa kondoo sana maana akijikoroga kidogo tu siri zake zote nje na huenda tukajua mpaka sababu za yeye kutodumu kwenye ndoa .
Kwa kifupi kama sio utani na wanatoka kweli kimapenzi basi hakika ni couple yao ni vichekesho na hawawezi kutoboa hata miezi sita.
Mambo yao yanakuhusu nini?Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ?

Acha watu wapigane tudude weweeee. Hailipiwi kodi ile kituHivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ?

sasa we mzee mbona kama umekurupuka na mapenzi ya watu kama unataka olewa wewe...hao ni wazazi wa mtoto mkubwa kama wameamua weka tofauti pembeni sisi ni nani kuingiliaHivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ?
Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio couple mbovu zaidi hapa nchini kuliko couple yoyote ile ya watu maarufu.
Sielewi huyu dada ametumia vigezo vipi au ameshauriwa na nani akubali kuwa mpenzi wa dudubaya.
Kwanza hawaendani hata kidogo kuanzia mitazamo, dini na hulka zao binafsi.
Huyu Dudubaya ambaye juzijuzi tu hapa ametoka kumdhalilisha mtoto na mke wake kwa kuanika hadharani huyo mtoto namna alivyopatikana kwamba mama yake alikuwa mapepe mapepe yani malaya na hata huyo mtoto amepatikana tu bahati mbaya baada ya kufanya mapenzi kwenye treni.
Kiufupi yale maneno kwa mtu anayejitambua hawezi kuzungumza vile tena mbaya zaidi mbele ya kadamnasi unadhani huyo mtoto ameathirika vipi kisaikolojia?
Wastara kwa namna anavyoishi, kupenda kuomba omba hovyo na mambo mengine ya sirini anayoyajua yeye, basi ategemee kudharirika vibaya mno wakipishana kauli.
Ukitazama background ya Wastara kuolewa olewa hovyo na kuachika mara kwa mara tena na watu wa maana kabisa sidhani kama kwa dudubaya watawezana, na pia itamfanya kuwa kondoo sana maana akijikoroga kidogo tu siri zake zote nje na huenda tukajua mpaka sababu za yeye kutodumu kwenye ndoa .
Kwa kifupi kama sio utani na wanatoka kweli kimapenzi basi hakika ni couple yao ni vichekesho na hawawezi kutoboa hata miezi sita.
Brother kwani vipi mwanetu eeh huyo War Star Raha alikunyima chini yake mpaka umuonee wivu hivyo kwamba ulikua unataka kummega au kwamba dudubaaaya ulitaka awe bwana wako ila ndio hivyo akakutolea nje na hakukugonga? Sorry, kwa kukuuliza maswali magumu ila jinsia yako ni ipi?Kwa kifupi kama sio utani na wanatoka kweli kimapenzi basi hakika ni couple yao ni vichekesho na hawawezi kutoboa hata miezi sita.
Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ?
Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio couple mbovu zaidi hapa nchini kuliko couple yoyote ile ya watu maarufu.
Sielewi huyu dada ametumia vigezo vipi au ameshauriwa na nani akubali kuwa mpenzi wa dudubaya.
Kwanza hawaendani hata kidogo kuanzia mitazamo, dini na hulka zao binafsi.
Huyu Dudubaya ambaye juzijuzi tu hapa ametoka kumdhalilisha mtoto na mke wake kwa kuanika hadharani huyo mtoto namna alivyopatikana kwamba mama yake alikuwa mapepe mapepe yani malaya na hata huyo mtoto amepatikana tu bahati mbaya baada ya kufanya mapenzi kwenye treni.
Kiufupi yale maneno kwa mtu anayejitambua hawezi kuzungumza vile tena mbaya zaidi mbele ya kadamnasi unadhani huyo mtoto ameathirika vipi kisaikolojia?
Wastara kwa namna anavyoishi, kupenda kuomba omba hovyo na mambo mengine ya sirini anayoyajua yeye, basi ategemee kudharirika vibaya mno wakipishana kauli.
Ukitazama background ya Wastara kuolewa olewa hovyo na kuachika mara kwa mara tena na watu wa maana kabisa sidhani kama kwa dudubaya watawezana, na pia itamfanya kuwa kondoo sana maana akijikoroga kidogo tu siri zake zote nje na huenda tukajua mpaka sababu za yeye kutodumu kwenye ndoa .
Kwa kifupi kama sio utani na wanatoka kweli kimapenzi basi hakika ni couple yao ni vichekesho na hawawezi kutoboa hata miezi sita.
Nimecheka sana aisee 😄😄Ila mtoa mada umezoea kutukanwa
Hongera
Kaenda India kutahiriwa aliogopa hospital za bongo watatoa siriAnasema ana bilion 2 kwenye account yake.
Juzi kapost kaenda India kufanyiwa matibabu ya uti wa mgongo.
Kumbuka gharama si chini ya milioni 50 ,kuanzia nauli,malazi na matibabu.