Hujawahi kusikia TVA = Tanzania Veterinary Association? Unafikri hiki kinaongozwa na akina Bashite? Hujawahi kusikia TSAP = Tanzania Society of Animal Production? Hujawahi kusikia TAWLAE = Tanzania Association of Women Leaders in Agriculture and Environment? na Bado kuna cha wataalam wa udongo. Pia kuna kingine kinaitwa TSAEE = Tanzania Society of Agricultural Education and Extension, pia kuna RST = Range Society of Tanzania. Vyote hivi ni vyama vya wataalam wa kilimo na mifugo ambavyo vyote chimbuko lake ni SUA!