ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 3,966
- 2,596
SIASA imetelekeza kilimo.unafikiri wasomi watafanya nini?ifutwe udsm maana ndo imewaleta kina CHENGE,MWAKYEMBE,MUHONGO,TULIA,MAGU, wanafiki tuu hawana nia njema na hii nchi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutokukisikia haimaanishi kwamba hakipo!! Zaidi inaonyesha ni jinsi gani ulivyo outdated!Sijawahi kukisikia hata kimoja hapo ndugu Manjagata, mpo kimya sana wakati ndio wenye wadau wengi zaidi kuliko fani zingine zote. Nyie watu ni wa muhimu sana basi tu
Yani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
CCMFani karibu zote zinaunganishwa na vyama vya wataalam. Lawyers, architects engineers, doctors. Chenu cha wataalamu wa kilimo ni kipi?
Kumbe unategemea msaada wa baby care? Wanaume wa kweli mb** zao zinatoa lubricant zenyewe Wataalam wanaziita Semen... Basi wewe utakuwa mashine yako imeshakufa...Na inawezekana imekufa kwa kuwa umezidisha kugongwa! Waombe wa Masaai wakupe dawa, huenda ikafufuka...Kuna sehemu unawashwa ngoja wanaume tuje tukukune, usisahau kuandaa na kopo la babycare.
Mkuu....SUA ingepaswa kuwa kinara hapa nchini kuliko jinsi ilivyo kwakweli.Kuanzia leo mkuu Lusajo11 anaza kufuatilia. Hivyo vyama viko hai kabisa na vinachapa kazi kama kawaida. Shida iliyopo ni siasa inatuharibia mambo mengi sana!!
Mkuu swali zuri sana!
Ila unaposema kilimo ni neno pana...ndani ya kilimo kuna ma injinia wa kilimo...ma injinia wa kisindika vyakula na madokta wa mifugo humo humo!
Nirudi kwenye swali lako...
Mainjinia wa kilimo chama chao ni ERB nadhani unaijua au umeshaisikia
Madokta wa mifugo chama chao ni TANZANIA VETERINARY ASSOCIATION!!
Agronomist na watu wa horticulture wana chama chao bahati mbaya nimekisahahu!
Kama unaswali uliza upewe majibu!!
Ndmn nmesema iulize serikali wanaomaliza wanapelekwa WAP??? Setikal haimthamin mkulima wala adsa kilimo lait tungepewa kpaumbele km hao nazan tungeskikaMkuu mimi mbona siwaoni wataalamu wa kilimo nimeanza kulima toka 2010? Mbona nawaona madaktari wa binadamu, polisi, maEng wa majengo nk. Nyie mnafanyia kazi maeneo gani? Hao wa hizo fani niliowataja mbona tunawaona kwenye mazingira yetu na wala hatuwafuati huko vyuoni kwao?
Wana group lao la wasap wanalima na kushauri kupitia simuYani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
Wengi wao wapo nchi zinazowatakaYani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
Chaa ajabu wengi unawakuta wanafanya kaZi bank!! Ushahidi ninaoYani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
Ukiiba ukikamatwa usiseme mbona fulani nae mwiziWaliosomea Political Science wanafanya nini katika nchi hii?
Waliosomea Engineering mbona siwaoni kwenye gereji na kwenye vijiwe vya welding?
Si hawataki kwenda vijijini!Chaa ajabu wengi unawakuta wanafanya kaZi bank!! Ushahidi ninao
SUA bora ifutwe haina impact yoyote kwa Taifa
Sua inaandaa watu wa kada mbalimbaliSwali zuri sanaaa!
Utakuta watu wengi waliotoka SUA ndio wanafanya kazi NSSF, PPF, Banks n.k
Sijui Shambani penye mazao na mifugo waende akina nani?
Ila nahisi ni serikali haijatengeneza mazingira wezeshi.
Nitafanya hivyo mkuu!Ukumbuke kushusha chandarua ndugu mtaalamu.
Na sera pamoja na tafiti za klimo kwanza zimeandaliwa na watsfiti kilimo sua alafu wanasiasa wanaleta siasa kwenye utekelezaji ata kwenye swala la kitaalumaTatizo sio SUA ila ni wale wanaopeleka KILIMO KWANZA kwa SUMA JKT wakati wataalamu wanaachwa wakapambane na madiwani kwenye halmashauri za wilaya