Molaro
JF-Expert Member
- Nov 9, 2013
- 818
- 577
WordMkuu! Nikifungua consultancy ya kilimo na mifugo sidhani kama raia watakuja. Na kama wakija sidhani kama wapo tayari kutoa pesa kwa ushauri pekee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WordMkuu! Nikifungua consultancy ya kilimo na mifugo sidhani kama raia watakuja. Na kama wakija sidhani kama wapo tayari kutoa pesa kwa ushauri pekee.
Food Science and Nutrition wanacho kinaitwa FONATAKwanza lazima tutambue kua SUA inatoa taaluma tofauti tofauti ingawa zote zipo katika bracket kubwa la kilimo.
Mfano. Veterinarians wanachama chao pekee(Tanzania veterinarian Association), Animal scientists tupo kwenye taratibu za mwisho za kusajili chama chetu, Wildlife officers pamoja na wanachama (nimesahau jina), Agronomist, Crop production experts (Agriculture general and Horticulturists) na food science sina uhakika kama wanavyama ila wataalamu wa misitu wanacho chama.
Kwa hiyo sio rahisi kukapatia jibu la pamoja.
Sasa kama hujawajengea mzingira mazuri katika sekta yao wafanye nn!? Na ukizingatia wanauwezo wa kufanya hizo kazi nyinginezo kuliko waliozisomea kama kozi mama.Chaa ajabu wengi unawakuta wanafanya kaZi bank!! Ushahidi ninao
Kweli kabisa.Acha kudanganya watu hao certificate na diploma mwalimu wao degree holder
Shukrani mkuu!Food Science and Nutrition wanacho kinaitwa FONATA
....Kitu ambacho nimejifunza kwa vijana wa kizazi hiki, hawapendi masomo ya sayansi, achilia mbali hao waliosomea kilimo kukipenda na kukiendeleza wakitoka chuoni kama SUA, au hata hao wanaobaki kufundisha. Huku makazini unakuta graduate wa kilimo au mifugo halimi wala hafugi, sasa atamsaidiaje mkulima?Kwanza kabisa nikupongeze mleta Maada, umefikiria nje ya box. Pili ni kweli hiki chuo kifanyiwe scrutiny kama bado kina tija/impact kwa nchi (kama ilivyokusudiwa). Graduates wake wengi hawafanyi kazi za kilimo, wengi wamejipenyeza kwenye taasisi zingine na kufanya kazi zisizowahusu, huku wakulima na kilimo kikikosa utaalamu wao.
Ahahaaah..... Una hasira sana mkuuSIASA imetelekeza kilimo.unafikiri wasomi watafanya nini?ifutwe udsm maana ndo imewaleta kina CHENGE,MWAKYEMBE,MUHONGO,TULIA,MAGU, wanafiki tuu hawana nia njema na hii nchi
Ukawa wazee wa malalamiko,umepotea jukwaa hili sio jukwaa la siasaserikali chini ya CCM ndio mchawi mkubwa wa SUA..."
Kiwanda cha kutengeneza tomato sauce maana kila mwaka nyanya zinaozea mashambani! Pia sio vibaya akamiliki mashamba ya mfano na sisi ambao hatukubahatika kusoma tujifunze kwake!we unataka amiliki nini??
Fani ya Sayansi katika ngazi ya Certificate and diploma wapo vizuri sana ukilinganisha na ngazi ya degree, kwa sababu awa wamekaa sana katika field work na wanajua matatizo na changamoto zoteUkitaka mtu aliesomea kilimo mwenye impact tafuta mtu aliesomea vyuo vya kati hasa mwenye diploma alieanzia certificate
Sio kweli mkuu, SUA huijui.SUA bora ifutwe haina impact yoyote kwa Taifa
Chuo ni UD tuYani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
Kuna factor nyingi sana za kuangalia kabla hujamiliki hicho kiwanda cha kuchakata mazao. Huwezi tu kuanzisha kiwanda kisa nyanya zinaozea shambani mkuu, je kuna supply ya kutosha mwaka mzima? Sasa hivi nyanya moja ni 200/-Kiwanda cha kutengeneza tomato sauce maana kila mwaka nyanya zinaozea mashambani! Pia sio vibaya akamiliki mashamba ya mfano na sisi ambao hatukubahatika kusoma tujifunze kwake!
SUA wana kozi za uchumi pia, agricultural economics and agribusiness. Mabenki kama CRDB au NMB wana mikopo ya kilimo kwa wateja wao na watu hawa wanafaa kwa kazi hizo kwa hiyo usishangae sana mkuu.Chaa ajabu wengi unawakuta wanafanya kaZi bank!! Ushahidi ninao
Yani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
Sasa hao technologies za kupeleka kwa wakulima wanazipata wapi kwa kuwa wao hawana uwezo wa kuzidevelop na kwanza sio kazi yao. That's where SUA and other research stations come in. SUA wana-develop technologies na kuzipeleka kwa wakulima through On farm Research. Link kati ya SUA na wakulima ni hao Field Officers kama Village Extension Officers ambao wanahusishwa kwenye On farm Research. Mkuu VEO wapo kwa kuwa SUA and other Research entities kama Agriculture Research Institutes zipo, otherwise they would cease to exisist .Fani ya Sayansi katika ngazi ya Certificate and diploma wapo vizuri sana ukilinganisha na ngazi ya degree, kwa sababu awa wamekaa sana katika field work na wanajua matatizo na changamoto zote
Mtoa mada hana ufahamu kabisa kuhusu SUA na kilimo kwa ujumla.
-ukiugua unatafuta tiba kwa haraka sana , lini ulitafuta msaada wa kitaalamu kwa afisa kilimo ukakosa. Afisa kilimo ni mtoa ushauri hivyo hana nguvu ya kulazimisha ushauri wake kufuatwa ukizingatia gharama za technology _ kuingiliana kwa siasa na utaalamu ni tatizo _ na mengine mengi nitafute nikujuze hivi hakuna mkulima anaeweza kujua kwamba nikiwa namimea mingi shambani nitavuna mavuno mengi ? Kwa nini anapanda ovyo (mchafukuoga)