mojave
JF-Expert Member
- Apr 30, 2016
- 5,568
- 6,424
heheheheUkumbuke kushusha chandarua ndugu mtaalamu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
heheheheUkumbuke kushusha chandarua ndugu mtaalamu.
Wewe nadhani hujui system ya nchi hii kabisa . SUA sana sana wanategemea funding kutoka kwa wafadhili. Hivi sensibly unategemea SUA wa-develop technologies appropriate to our needs kwa kutumia fedha ya mfadhili! Kumbuka mfadhili anapokuja ana interests zake na anakuja na themes zake ambazo hazi address requirements zetu,zina address needs zake! Kama tunataka SUA ilete mchango unaotakiwa tuipe funding ya kutosha ku-develop technologies na kuzipeleka kwa wakulima. Vingenevyo kwa jinsi mambo yalivyo sasa, SUA isilaumiwe kabisa. Funding ya serikali kwa ajili ya Research ni negligible . SUA wanahangaika wenyewe ku-solicit funding kutoka kwa wafadhili, and this type of funding is not sustainable.Kwa bahati serikali ikianzisha funding mechanism kwa mfano kwa mradi wa miaka mitatu ita-fund kwa mwaka mmoja au miwili halafu funding ina cease ,so no output and money has been wasted. Huwa ni vituko tu. Kwa kweli kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa SUA na vituo vingine vya utafiti wanajitahidi sana. Hela ya research and development wanazopata ni kidogo mno, infact ni for maintenance only.Yani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
Well said mkuu,,,[emoji106]Wewe nadhani hujui system ya nchi hii kabisa . SUA sana sana wanategemea funding kutoka kwa wafadhili. Hivi sensibly unategemea SUA wa-develop technologies appropriate to our needs kwa kutumia fedha ya mfadhili! Kumbuka mfadhili anapokuja ana interests zake na anakuja na themes zake ambazo hazi address requirements zetu,zina address needs zake! Kama tunataka SUA ilete mchango unaotakiwa tuipe funding ya kutosha ku-develop technologies na kuzipeleka kwa wakulima. Vingenevyo kwa jinsi mambo yalivyo sasa, SUA isilaumiwe kabisa. Funding ya serikali kwa ajili ya Research ni negligible . SUA wanahangaika wenyewe ku-solicit funding kutoka kwa wafadhili, and this type of funding is not sustainable.Kwa bahati serikali ikianzisha funding mechanism kwa mfano kwa mradi wa miaka mitatu ita-fund kwa mwaka mmoja au miwili halafu funding ina cease ,so no output and money has been wasted. Huwa ni vituko tu. Kwa kweli kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa SUA na vituo vingine vya utafiti wanajitahidi sana. Hela ya research and development wanazopata ni kidogo mno, infact ni for maintenance only.
Suluhisho la kudumu kwa tatizo hili ni kwa serikali kugharamia utafiti wake yenyewe. The government must fund it's own research , we can't depend on donors.
Katika dini.[emoji16][emoji23][emoji3]Katika kilimo au kwenye nyanja zote?
Hivi kwa nini inakuwa hivi mi huwa nategemea mtu wa degree awe mjuzi zaidi lakini hali ilivyo ni watu wa certificate na diploma wenye kujua wanachofanya ie wajuzi zaidiUkitaka mtu aliesomea kilimo mwenye impact tafuta mtu aliesomea vyuo vya kati hasa mwenye diploma alieanzia certificate
Kama ni ma-theory tu unategemea upate kitu gani?Tatizo nchi yetu tuna wameza notsi na si wasomi
Kama muda mwingi tukifanya practical hakika tutakuwa wataalamu wa nguvu.Mkuu pitia kwenye hivi vyuo vya kati yaani kusoma ni kidogo sana mda mwingi ni practical tena mashambani tofauti na sua na vyuo vingine vikuu ambavyo wanafunzi wanalima kwenye projector
Pia ngazi mbali mbali za elimu zina impact yake katika taasisi/kazi/shirika.... shida hatujui speciality.Fani ya Sayansi katika ngazi ya Certificate and diploma wapo vizuri sana ukilinganisha na ngazi ya degree, kwa sababu awa wamekaa sana katika field work na wanajua matatizo na changamoto zote
Ukisema wakulima wa Tanzania hawataki kubadilika, uko sawa lkn hili tatizo ni kwa wakulima wote waliosoma na wasio wasomi. Maana una kuta asilimia kubwa ya watu waliosomea Kilimo(99%) hawataki kubadilika! Yaani hawataki kufanyia kazi walichosomea, namaanisha unakuta Afisa Kilimo kasoma lkn hana na hataki kulima na hana maono ya kulima hata robo eka! Afisa Mifugo naye vivo hivyo hataki wala hana maono ya kufuga hata kuku mmoja. Na wakulima wasio wasomi(99%) hawataki kufanyia kazi kitu ambacho hawajasomea.What i can say ni kwamba wakulima wa kitanzania hawataki kibadilika ndio maana kilimo hakisongi ,ukifanya utafiti wakulima wamefundishwa sana na taasisi za binafsi na za kiserikali but ukipima impact ya mafunzo ni zero sababu mtu amachofundishwa sicho anachokifanya ,na hapo ndipo anaepima kilimo kama mtoa mada kwa impact huoni kama kuna kilichofanyika . First ni watanzania tujifunze kubadilika na kupokea elimu ndipo kilimo kitasonga.
Huwezi amini mpaka leo hii wenzetu wanatoka kwenye hybrid wanaenda kwenye G.M.O (siungi mkono lakini gmo) ila sisi bado tunatumia mbegu za kichanjani,bado tunakamua mbegu kwenye mazao ya shambani na kuzipanda tena . Kila mtu angekua kwenye hybrid ungeona impact ,kila mtu angejua anatoa nn shambani ungeona impact. Ila mtanzania anatumia milioni 2 kuzalisha zao akivuna anauza milioni 1 na anajisifia amepata faida ,inasikitisha sana kwa sisi ambao tuko field na tunaona hali ilivyo na hakika binafsi ndio inanipa morali ya kuongeza bidii kubadili mindset za farmers
Wivu na majungu hayo.Tupo mmoja hapa jirani anamiliki baa mbili, sijuhi huko SUA kuna specialityvya baa.
Umezungumza kisomi sana mkuu,Wewe nadhani hujui system ya nchi hii kabisa . SUA sana sana wanategemea funding kutoka kwa wafadhili. Hivi sensibly unategemea SUA wa-develop technologies appropriate to our needs kwa kutumia fedha ya mfadhili! Kumbuka mfadhili anapokuja ana interests zake na anakuja na themes zake ambazo hazi address requirements zetu,zina address needs zake! Kama tunataka SUA ilete mchango unaotakiwa tuipe funding ya kutosha ku-develop technologies na kuzipeleka kwa wakulima. Vingenevyo kwa jinsi mambo yalivyo sasa, SUA isilaumiwe kabisa. Funding ya serikali kwa ajili ya Research ni negligible . SUA wanahangaika wenyewe ku-solicit funding kutoka kwa wafadhili, and this type of funding is not sustainable.Kwa bahati serikali ikianzisha funding mechanism kwa mfano kwa mradi wa miaka mitatu ita-fund kwa mwaka mmoja au miwili halafu funding ina cease ,so no output and money has been wasted. Huwa ni vituko tu. Kwa kweli kwa jinsi hali ilivyo kwa sasa SUA na vituo vingine vya utafiti wanajitahidi sana. Hela ya research and development wanazopata ni kidogo mno, infact ni for maintenance only.
Suluhisho la kudumu kwa tatizo hili ni kwa serikali kugharamia utafiti wake yenyewe. The government must fund it's own research , we can't depend on donors.
Halafu tusimsahau hata huyo mkulima mwenyewe. Years of neglect zimemfanya apigike kiasi kwamba hata akipelekewa technology hawezi kuitumia kwa kuwa inahitaji resources. Kwa mfano a kilo of maize seed costs 6,000/=,acha inputs zingine kama pesticides na fertilizers. Mwaka huu kumekuwa na outbreak ya Army Worms na Stalk Borers na wakulima wengi wameshindwa kutumia pesticides kwa kuwa hawana fedha, na technology ipo.Katika scenario hii unategemea nini. Mkuu ni kizungumkuti, goma ni zito!
Tatizo lililopo apo katika masomo haya ya kilimo yanaitaji, uwe unatoka katika familia ambazo zinajiweza kipesa, la sivyo unaishia kuajiliwa na kulipwa pesa za kipuuzi ambazo, ikitokea umepata ajali kazini inakuwa ishu, mimi kuna rafiki yangu anafanya kazi katika shamba la kigogo mmoja wa serikali alipata ajali wakati anatibia Farasi wa bosi wake alipigwa teke na Farasi na akavunjika mguuu na kuumia sana lakini matibabu yalikuwa ya kijinga mpaka ilibidi ndugu zake ndio wajichange apelekwe Muhimbili. Sasa kama wataaramu wanapata changamoto kama izo Unafikiri kuna mtafiti gani? Anapenda kwenda katika kazi za kilimo na ufugaji, tatizo pesa zinatoka ndogo katika kazi muhimu sanaUkisema wakulima wa Tanzania hawataki kubadilika, uko sawa lkn hili tatizo ni kwa wakulima wote waliosoma na wasio wasomi. Maana una kuta asilimia kubwa ya watu waliosomea Kilimo(99%) hawataki kubadilika! Yaani hawataki kufanyia kazi walichosomea, namaanisha unakuta Afisa Kilimo kasoma lkn hana na hataki kulima na hana maono ya kulima hata robo eka! Afisa Mifugo naye vivo hivyo hataki wala hana maono ya kufuga hata kuku mmoja. Na wakulima wasio wasomi(99%) hawataki kufanyia kazi kitu ambacho hawajasomea.
Angalia wakulima katika nchi za Ulaya, Asia, America, Australia ni wataalamu wamesomea Kilimo lkn kwa Tanzania mambo ni kinyume waliosomea hawatekelezi/hawatendi walichosomea. Wasio soma ndo wanalaumiwa kuwa hawataki kubadilika. Wakati anayelaumu naye anafanya yaleyale!
Ilitakiwa amiliki shamba kubwa mkundi.we unataka amiliki nini??
Kosa lako la SASA ni kufikiri kwamba tunaweza tukarogwa na tukakupa urais, kosa lako la BAADAE (ikitokea tumerogwa) ni kuifuta hiyo taasisi muhimu hata kama impact yake inaonekana ni ndogo.
Tukiachilia mbali makosa hayo, ni ukweli usiopingika kwamba umeleta mada nzuri sana na yenye tija kwa mustakabali wa nchi yetu inayotegemea kilimo. Kwa maoni yangu SUA bado wana deni kwa nchi na pia inawezekana nchi nayo ina deni kwa SUA.
Acha mjadala uendelee...