Mlishaandika Proposal serikalini kwaajili ya kupewa pesa za kuyafanya hayo?Ndomana nmesema ilaum serikali yako co CE TAZALISHA MBEGU AU TATENGEZA VIFAA KWA BAJETI IPI???? au m ntoe pesa mfukon nnazo?? WAKULIMA WANANUFAIKA UJE NAWE UTUFAID YUKO ACTIVE SANA YAN...sema hatna mazngira wezeshi..
SUA bora ifutwe haina impact yoyote kwa Taifa
Tupe heshima yetu mkuu ilaum serikali yako CIO cc cc tunatumika sana mashamban na tunajituma sn kwa wakulima njoo sua uclalamike tuu bure!!!
ULishanitafuta nikashidwa kukushauri? Wewe vipi wewe!! Mbona kule kwetu watu wanajidai na wataalam wa kilimo na mifugo kutoka SUA. Yaani wewe umeninginiza kengele zako hapo kwako unataka tukufuate mpaka nyumbani kwako?Yani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
[emoji1] [emoji1] [emoji1]! Labda amesoma food science and technologyTupo mmoja hapa jirani anamiliki baa mbili, sijuhi huko SUA kuna specialityvya baa.
Ni mgumu sana mkuu?Mkuu achana na Uwekezaji wa Kuzalisha Mbegu za mahindi. Hahaa kuna kitu inaitwa Parents
Wizara ya kilimo ambayo ndiyo ina meno ya kupanga na kuimplement na imejaa wataalam kibao ndio wa kulaumu. Kazi ya SUA ni kutoa elimu, kufanya utafiti na kushauri nini kifanyike. Kama hamtaki kuchukua ushauri wetu tufanyeje sasa?Yani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
ULishanitafuta nikashidwa kukushauri? Wewe vipi wewe!! Mbona kule kwetu watu wanajidai na wataalam wa kilimo na mifugo kutoka SUA. Yaani wewe umeninginiza kengele zako hapo kwako unataka tukufuate mpaka nyumbani kwako?
ulitaka washike jembe?Yani mchango wao hauonekani kabisa katika kuinua sekta ya kilimo na mifugo.
Sekta ya kilimo imeendelea kuwa duni tangu nchi ipate uhuru na hawa jamaa wameshindwa kabisa ku transform kilimo.
Kifupi hawana impact kama Makapuku forum.
Siku mkirogwa mkanipa urais hiki chuo ntakifuta katika siku zangu mia za kwanza...
Hujawahi kusikia TVA = Tanzania Veterinary Association? Unafikri hiki kinaongozwa na akina Bashite? Hujawahi kusikia TSAP = Tanzania Society of Animal Production? Hujawahi kusikia TAWLAE = Tanzania Association of Women Leaders in Agriculture and Environment? na Bado kuna cha wataalam wa udongo. Pia kuna kingine kinaitwa TSAEE = Tanzania Society of Agricultural Education and Extension, pia kuna RST = Range Society of Tanzania. Vyote hivi ni vyama vya wataalam wa kilimo na mifugo ambavyo vyote chimbuko lake ni SUA!Fani karibu zote zinaunganishwa na vyama vya wataalam. Lawyers, architects engineers, doctors. Chenu cha wataalamu wa kilimo ni kipi?
Hujawahi kusikia TVA = Tanzania Veterinary Association? Unafikri hiki kinaongozwa na akina Bashite? Hujawahi kusikia TSAP = Tanzania Society of Animal Production? Hujawahi kusikia TAWLAE = Tanzania Association of Women Leaders in Agriculture and Environment? na Bado kuna cha wataalam wa udongo. Pia kuna kingine kinaitwa TSAEE = Tanzania Society of Agricultural Education and Extension, pia kuna RST = Range Society of Tanzania. Vyote hivi ni vyama vya wataalam wa kilimo na mifugo ambavyo vyote chimbuko lake ni SUA!
Kuanzia leo mkuu Lusajo11 anaza kufuatilia. Hivyo vyama viko hai kabisa na vinachapa kazi kama kawaida. Shida iliyopo ni siasa inatuharibia mambo mengi sana!!Sijawahi kukisikia hata kimoja hapo ndugu Manjagata, mpo kimya sana wakati ndio wenye wadau wengi zaidi kuliko fani zingine zote. Nyie watu ni wa muhimu sana basi tu
Ukweli mchungu,Mkuu pitia kwenye hivi vyuo vya kati yaani kusoma ni kidogo sana mda mwingi ni practical tena mashambani tofauti na sua na vyuo vingine vikuu ambavyo wanafunzi wanalima kwenye projector
SUA ilianza kutoa hao wataalamu tangu miaka mingapi iliyopita?Mapinduzi ya kilimo siyo ya siku moja. wataalamu wetu wanafanya kazi nzuri sana ya kuelimisha watu.
Nashauri wakulima tuwasikilize wataalam wetu kutoka SUA tusiwasikilize watu ambayo hawataki tusonge mbele kwenye kilimo chetu kwa kukataa matumizi ya GMO. wanataka turudi tulikoshindwa
Katika kilimo au kwenye nyanja zote?Nenda Muslim University of Morogoro mchango wao unaonekana kila kona ya nchi hii kuanzia saa 11 alfajiri
Mkuu swali zuri sana!Fani karibu zote zinaunganishwa na vyama vya wataalam. Lawyers, architects engineers, doctors. Chenu cha wataalamu wa kilimo ni kipi?