Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
WaarabuEti wakuu, watu wa Afghanstan ni jamii gani?
Ndevu zile na kobazi plus zile dont touch unaweza kupata jibu au tembelea maeneo ya PembaEti wakuu, watu wa Afghanstan ni jamii gani?
WaarabuEti wakuu, watu wa Afghanstan ni jamii gani?
Ni kama wahindi wale..asili moja na wapakistan. Sio waarabu
wikipedia wanasema ni Eastern Iranian, ni kama wahindi hivi. Japo wengine wana macho ya bluu ambayo wahindi huwezi wakuta nayo. Na malala kumbe ni Mpashtuni?Wapashtuni
Waarabu
Waarabu
Bora yako,,,wengine wanacomments kwa kubahatishaNasoma comments
Hawaongei Kiarabu, lugha zao kuu ni Pashtun na Urdu haswa kwa upande unaopakana na Pakistan.Ni waarabu coz wanaongea kiarabu