Hivi watu wanaanzaje kuifananisha Prison Break na Money Heist?

Umesahau kumalizia mkuu! Money heist ni sawa na futuhi, ndio ni futuhi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
old is gold

mimi siwezi kuingia kwenye mkumbo wa kushabikia kisa nionekane najua,nimeangalia series zote mbili na season zake zote.

kila series ina mapungufu yake na kila moja ina ubora wake sema tu PB ilitoka kipindi hakujawahi kuwa na series kama ya aina ile,na MH ipo kwenye kipindi watu washaona kitu cha aina hii wanaigiza.

tunaipenda PB sababu ya memories,ipo kichwani..sababu tunakumbuka na binadamu tuna tabia ya kusifia vya zamani.

ingawa kwa upande wangu pia PB ni favourite kuliko MH....

characters hawawezi fanana,mfano mtu hapo juu anafananisha Rio na Tbeg...Rio kwenye MH kacheza kama dogo tu mtaalamu wa IT so issue za ubabe usitegemee,alichofunzwa ni kutumia tu bunduki na vitu vingine ila kazi yake kubwa mule ndani ni issue za mitambo.

halafu kumbuka pia Michael aliwachagua watu wake kuzingatia mahitaji yake,sawa..pia wale walikua kwenye gereza la watu wahalifu wakubwa so issue za wao kuwa hard lazima sababu ni wahalifu sugu,akina Rio wameokotwa tu mtaani sababu ni watu hawana cha kupoteza ndio maama hata akiua mende anaanza kulia.

lengo la proffesa ni kuteka na kubuy time waprint mzigo kwa kufanya negotiation...

mazingira mengine yameshaandaliwa miaka kadhaa nyuma huko

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee umeshuka fresh ila kumbuka, hawa jamaa wanaobisha yani wanaona Professor ndio katumia akili nyingi zaidi..

Ukiangalia Professor akili yake inawategemea watu wengi zaidi, pia kuna muda anashindwa kufanya maamuzi mpaka sometimes mambo yanaenda tofauti.

Lakini yule bwana Michael matukio mengi anaefanya maamuzi ni yeye mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wadandiaji tu hawajui kitu wanafata mkumbo kusifia ujinga.

Mfano kama The Wire nauhakika ni asilimia chache sana ya watu wameiona hii show. Bonge moja la show.

Money Heist haifikii hata Breaking Bad
 
Tofauti ni kubwa saaaana pb iko hot muda wote ila money heist kuna wakati inapoa sana halafu haina mizuka kiviiile ila mizuka ilojaa mule ni pono tu kwa ngono mule nimekubali ila mengine ya kawaida saaaaana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaa.. Mkuu kama unataka series za pono na zenye drama za kibabe, mbona kuna mizigo kama Power, GoT, Strike Back,.. etc.

Humo wewe tu na roho yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wengi wadandiaji tu hawajui kitu wanafata mkumbo kusifia ujinga.

Mfano kama The Wire nauhakika ni asilimia chache sana ya watu wameiona hii show. Bonge moja la show.

Money Heist haifikii hata Breaking Bad
The wire inahusiana na Nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…