1kush africa
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 9,552
- 13,090
Captivity of Negativity View attachment 1447880
Inahusiana na Nini? Ebu tupe kidogo.
Blacklist naonaga kali season 1. Kuanzia ya pili Reddington kapunguza makali.Money heist ni nzuri ila BP ni nzuri zaid.
Kwenye akili PB ndo akili zimetumika kwa kiwango cha juu km tunaweza kurate bhas 9/10 kwa money heist akili imetumika ila sio kiwango cha kuzid PB so rate ya akili iliotumika ni 7/10
Nje ya mada.
Kwa kumalizia kaangalien blacklist ndo utajua 10/10 ya akili ilitumika na mzee Raymond Reddington
Sent using Jamii Forums mobile app
Sure demu wa C note alikuwa mzuri daahIla kwenye PB kuna character tatu zilikatizwa kibabe ila zilikuwa very emotional.
1. Yule dogo tozi mwizi. Aliuawa season 2 na Mahone.
2. Lincoln Jr a.k.a LJ Jr. Mtoto wa Lincoln.
3. Demu wa Benjamin Miles "C Note". Akikuwa "mkali" balaa ila alifanyiwa ukauzu kweli na askari wa Mahone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mahone alikuwa katili Sana.Ila kwenye PB kuna character tatu zilikatizwa kibabe ila zilikuwa very emotional.
1. Yule dogo tozi mwizi. Aliuawa season 2 na Mahone.
2. Lincoln Jr a.k.a LJ Jr. Mtoto wa Lincoln.
3. Demu wa Benjamin Miles "C Note". Akikuwa "mkali" balaa ila alifanyiwa ukauzu kweli na askari wa Mahone.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaah ni nzuri nayo. Humo ndani yupo yule Sara tancredi wa Prison Break
Sent using Jamii Forums mobile app
gheto lako kali sanaHii kitu hatari nairudia tna kwa mara 5 hiiView attachment 1448049
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio nini hiyo?Kwahiyo nyie majamaa mnataka kuniambia hata Maneno Ya Kuambiwa haingii kwa Prison Break?!
mungu akupi vyote 😁😁Ukisoma comments za wapwaa humu huwezi amini kama ni raia wa nchi ambayo film industry inapumulia mirija.
Yaani kila mmoja anaonesha ujuaji wa hali ya juu
c note??sio Fernando sucre?