kiss ov love
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 9,388
- 16,188
- Thread starter
-
- #261
Safi sana mkuu, hongera kwa kuwa na watu walionyookaYap! kujisikia vibaya lazima lkn kwa mtu mwelewa atakuona wewe wa maana sana, kiukweli mimi mwenyewe nampenda sana mtu anaeniambia ukweli wa madhaifu yangu haijalishi litaniuma kiasi Gani lkn nitachukua hatua za haraka kuhakikisha nalekebisha.
Nina ushuhuda wa madhaifu yangu mengi tu ambayo niliyajua kupitia watu wenye hawana unafiki na niliyafanyia kazi.
ππππuna hoja usikilizweWatu wasafishe sehemu zote zilizo wazi, kuna wengine wananuka vipapa jamani chaah!!
Sijui na wanaume zao wanaishije huko majumbani, unakuta mwanamke ananuka shombo la papa mpk wewe mwanamke mwenzie unaziba pua.!
Wanaume sasa midomo, miguu yani kavaa viatu bado anatoa halafu. Sasa akivua buti lake la jeje patakalika kweli?? Mapombou leo tuyaache huko ndo balaa..!! πΉπΉπΉ
na ndio njia ya asilimia 100 kujua kama unanuka au la.Hii ni kwel ila unaweza puliza hewa yako ya kinywa tu kwa kuziba na mkono ukajua.
Kipindi hiki (mwezi huu) wako wengi sana.Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Huu mwezi uishe tu π€πKipindi hiki (mwezi huu) wako wengi sana.
Naomba niishie hapo
Hebu tuone picha ya tongue cleaner tafadhaliSensondine + Listerine+ tongue cleaner π₯π₯
Zipo kama chuma ivi or uh just Google βΊοΈHebu tuone picha ya tongue cleaner tafadhali
Ok. Sikuwahi kujua km kuna tongue cleanerZipo kama chuma ivi or uh just Google βΊοΈ
Unazotumia nazo nzuri pia mm nimeweka suggestions kwa wale Ata kimoja hawana some wanasukutua tu maji ila it's fine unachotumia maan inasafisha ulimi piaOk. Sikuwahi kujua km kuna tongue cleaner
Ila me brush ninazotumia the other side huwa kuna km another brush lkn huwa ndogo na ngumu, niliskia kuwa ndio special kwa kusafishia ulimi
Nimeziona π€£π₯°π₯°Zipo kama chuma ivi or uh just Google βΊοΈ
Ndo izo dear βΊοΈβΊοΈNimeziona π€£π₯°π₯°
For the first time in my life ndio nimejua km kuna hii kitu. Kweli JF ni shule
View attachment 3284998View attachment 3284999
Mda wa kuzagamuana. ππππYaan mda gani mpaka watu inatokea mkahemeana et...
Pia kutokunywa MAJI mengi na pia kutotibu magonjwa ya kinywa!Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Ahsante kwa somo hili piaPia kutokunywa MAJI mengi na pia kutotibu magonjwa ya kinywa!
Ahahaha kuna ulazima wa kupumuliana et..?Mda wa kuzagamuana. ππππ
Kwa hiyo kipimo ni kipi?Sio rahisi kama unadhani hicho ni kipimo basi na wewe unaweza kuwa unanuka mdomo na hujijui.
Kwa mwanzoni tatizo likianza unaweza kujua ila likikaa siku 5 tu hutojua tena