Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

Ko huwa hampumuliani? Au mnakua hampumui? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ahahahah skumbuki aiseee...
Mishangazi kwanza ujue sijui mkae vipi mpaka mpate mda wa kuangaliana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Ahahahah skumbuki aiseee...
Mishangazi kwanza ujue sijui mkae vipi mpaka mpate mda wa kuangaliana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Kwani hata msipo angaliana ndo harufu haimfiki? Woiiiih
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani hata msipo angaliana ndo harufu haimfiki? Woiiiih
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mi ntakuja kupiga mtu sasa an anapumuaje kiasi ambacho hadi nisikie harufu jamni
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Mi ntakuja kupiga mtu sasa an anapumuaje kiasi ambacho hadi nisikie harufu jamni
Acha fix, mishangazi ya uswazi inanuka sio mdomo, hata kiharage kinatema, Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Acha fix, mishangazi ya uswazi inanuka sio mdomo, hata kiharage kinatema, Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nop sio wote bana...
Wewe ujamuona dorry yaani ni very smart alafu aiseee kama hajazaa hv an siongei sana ila ile ni πŸ‘ŒπŸ‘Œ...

Hao unaosemea wewe hawakai huku kwetu majimatitu mybe chax huko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwendraa huko, hakuna lolote, hakna Dorry wala Derry.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Niogope wewe hapo au niogope nini..?
Au na wewe wa mjini ahahaha

Bichwa yu wapi jamni
Wee ndo maana unaachwa stand, unakurupuka mno.
Afu amerudi mchumba ako, kwan hujamuona? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wee ndo maana unaachwa stand, unakurupuka mno.
Afu amerudi mchumba ako, kwan hujamuona? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Noo sija muona bhana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kesho nikitoka k,koo nakuja mojakwa zote
 
Noo sija muona bhana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kesho nikitoka k,koo nakuja mojakwa zote
Si kasema alikua maternity leave, vipi baba kachanga hujui hilo? Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wee huogopiii?
 
Si kasema alikua maternity leave, vipi baba kachanga hujui hilo? Lol
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wee huogopiii?
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Au kala ban ya mwaka...

Ngoja nijipange nikamuone kichanga
 
Huo ni ugonjwa kama wale wanaonuka sehemu zingine za mwili.
 
Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.

Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Kuna jamaa tulisoma naye secondary alikuwa ananuka mdomo wanasema sometimes ni intestinal infection ila ulimi unatakiwa upigwe mswaki maana unakutana na mtu asubuh ulimi una rangi ya njano au rangi ya ubuyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…