Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

Mouth wash huwa inasaidia kwa muda mfupi... Suluhisho ni kusafisha kinywa na ulimi mara kwa mara, mpaka kinywa kinazoea kuwa kisafi na mara kwa mara, ukisafisha kinywa ujianglie kwenye kioo kuhakikisha ulimi umesafika hasa, na hakuna gando gando lolote zito kwenye ulimi... Hii kitendo kinachukua muda sio kuweka maji na kupitisha mswaki mara moja umeweka dawa, unafikiri umemaliza .. Pitia hatua zote mpaka uhakikishe kinywa kiko kisafi... Ukidumu na tabia kinywa kitakuwa safi na utaepuka kunuka kinywa kunakozidi... Kwa namna moja au nyingine baada ya kula vyakula mbalimbali yataanza kubaki mabaki ya vyakula, hayo ndio huleta harufu ya kinywa , usilale bila kusafisha kinywa.. Nadhani hii itasaidia wengi.
 
Asante mkuu umeiweka vyema
 
Wanawake ni watu wenye roho ngumu sana na katili. Mimi mwenyewe huwa najiuliza unawezaje kuvumilia harufu ya pombe+sigara?

Mimi nikilala tu na mtu wa aina hiyo chumbani sipati usingizi kabisa. Sasa wanawake mnapumuliwa na denda mnakula kabisa
Sio wotee, sio kivilee.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hasa kipindi hiki ambacho watu wamefunga,yaani midomo inatowa harufu za ajabu,utafikiri kashikilia kitu mdomoni, Bora basi mwanaume anuke mdomo,ikiwa ni mwanamke hata kuolewa kwake ni kamzozo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…