Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,677
Kupumuliana ndo nini dada ππππ€π€π€Usafi wa kinywa kwa kina unahitajika, Wengi wao huwa hawasugui Ulimi na mswaki.
Sipendi mtu anae toa harufu kinywani, huwa naboreka, nawaza mwenza wake anawezaje kuvumilia Denda? Au kupumuliana.
Hiyo harufu, Woiiiiiiih.
Sawa mkuuHamna noma, nitaku tag
SawaSina imani kama wanajuaga huenda na ww ukawa unanuka lakini hujijui ko ni vema kuambiana kama utakuwa umeona tatizo
Jiulize kwa nini diamond anajiremba zaidi hata ya mwanamke ila wanamkimbilia.Ni kweli mkuu
Kijana acha makasiriko tafuta hela uache shobo kwenye post zisizokuhusu,mwanaume una maneno ya shombo hivi jitathimini.Wewe kila kero Yako, mara umezalishwa na mwanamme wa miaka 45, yaan unaandika andika tu kama Malaya hivi. Hivi hunaga kazi ya kufanya? Yaan kama mwehu vileee na unajiona unaandika vitu vyaa maana kumbe ovyoo tu.. we unadhani umekamilika kila kitu?
Na unadhani yeye anapenda hio Hali?
Kwa hiyo ulitaka akae kimya asiongee shida yake au?
Basi wewe ni malaika sasa.
Kuna watu anaweza asiswaki hata siku mbili na asinuke mdomo lakin Kuna wengne hata aswaki mara kumika siku bado mdomo utanuka tu, hivi hiki kitu nacho hujawahi kujiuliza?
Nadhani nzuri ni Colgate kwa watu sisi wenye vipato vya kawaida
Nipite kimya? Basi ungejiandikia mwenyewe inbox kwako.Kijana acha makasiriko tafuta hela uache shobo kwenye post zisizokuhusu,mwanaume una maneno ya shombo hivi jitathimini.
Wakati mwingine jifunze kupita kimya, ukihitajika utaitwa
Hawa ukishakuwa na hela basiJiulize kwa nini diamond anajiremba zaidi hata ya mwanamke ila wanamkimbilia.
Huwa inakuwa ni harufu itokayo moja kwa moja kwenye njia ya hewa.Inaweza ikawa tatizo la kiafya pia maana kuna wengine unakuta anazingatia usafi lakini bado kinywa kina harufu
ππ saw nimecheka sio bei kubwa ivyoNadhani nzuri ni Colgate kwa watu sisi wenye vipato vya kawaida
Mada itakuwa imewalenga zaidi wababa na wamama pia wamo domo pwiaaaah!Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
Hili tatizo kitaalamu linaitwa Halitosis.Heshima yenu wana jukwaa, mimi huwa najiuliza hawa watu wanaonukaga midomo huwa hawajijui kwani.
Kuna mbaba mmoja huwa anakujaga hapa ofisini kuna muda anaweza akawa anaongea karibu na mimi namsikia kabisa mdomo wake unatoa harufu, sasa najiuliza hata nyumbani mke wake ameshindwa kumwambia, yeye mwenyewe je hasikii hiyo harufu.
Kwa mnaofahamu hili tatizo dawa yake ni nini, tuwasaidie watu wanaopitia hii changamoto.
KuhemeanaKupumuliana ndo nini dada ππππ€π€π€
Msamala sehem gani? Na Goba ipi?We mngoni kwa kupenda kwichikwichi upo vizuri sana!
Hongera kwa kuwawakulisha wanawake wa kingoni kwa vitendo!
#KARIBU NYUMBANI #MSAMALA-SONGEA#GOBA DSM#
Ipo miamvuli midogo ya kuzuia mate ...nunua huo uwe unatembea nao chifuna anaeongea hadi mate yanaruka...... Nipo na jamaa hapa naongeanae,nayaoga mate balaa,aisee!
Asante mkuu umeifafanua vyemaHili tatizo kitaalamu linaitwa Halitosis.
Na wengi wao hawajui kuwa wana hili tatizo kwa mtu akiambiwa anaweza akajenga chuki kubwa sana na aliemuambia.
Mnakumbuka wakati wa Corona ukivaa barakoa utajua harufu ya kinywa chako ukipiga mswaki inapotea.
Tatizo mainly linaweza kuwa linatoka katika mgongo wa ulimi wako ukiwa mweupe unaashiria mlundikano wa fungus.
Inatakiwa usugua na mswaki au tongue cleaner ziko katika pharmacies nyingi mpaka mgongo wa ulimi uwe wa pink na inachukua muda hauwezi kukamilisha kwa hata wiki 2.
Kuna dental floss za plastic na nyuzi zake zinasaidia sana kupunguza uchafu wa kinywa.
Tumia dawa jama Total Colgate inayokaa kwenye kinywa masaa 12 inasaidia inauzwa 10,000.
Wakati mwingine tatizo litatoka ndani ya tumbo ukienda kwa dentists atakuandikia dawa au unaweza kununua online Ebay au Amazon Supplements zinaitwa Dental probiotics zina virutubisho vya kutibu kunika mdomo kama chanzo ni ndani ya tumbo.
Mh! Inauzwa wapi hiyo?Ipo miamvuli midogo ya kuzuia mate ...nunua huo uwe unatembea nao chifu