Hivi watu wanaonuka midomo huwa hawajijui?

Nadhani hawajijui kuna mwanasheria mmoja jamaa yangu ananuka sana mdomo sema sijui naanzaje kumwambia
 
Sasa kama post zangu hazina adabu unazifatilia za nini, acha kiherehere mtoto wa kiume
 
Kuna watu wananuka mdomo kwa sababu ya Kisukari.

Wengine wamefunga mfungo wa Ramadhani tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…