Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Hoja nzito sana hii.

Hiyo jamii ya Korea, China, Japan wana akili nzuri sana
Sijui tufanye nini tukubali kujifunza au tukubali kuongozwa ? Au tubaki hivi hivi ?
 
Achana na Korea kusini linganisha kiinchi chako cha kipumbavu na Korea kaskazini ya kijamaa kama inafika hata robo
 
Pesa za misaada mnazopewa haziwatoshi au mnatapanya kwenye mambo yenu ya kipumbavu unafikiri huto vijisenti vya pesa za utumwa na ukoloni ndio vinawafanya mfike walipo fika Korea kusini ?
 
Wewe jibu swali achana na mambo ya white superiority
 

View: https://youtu.be/e22v7uS0uUc?si=zFTDQNjt01amE666
uko na shida kichwani ! ijue kwanza historia ya haiti

Haiti haina miaka 200
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…