Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
- #181
Sijui tufanye nini tukubali kujifunza au tukubali kuongozwa ? Au tubaki hivi hivi ?Hoja nzito sana hii.
Hiyo jamii ya Korea, China, Japan wana akili nzuri sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui tufanye nini tukubali kujifunza au tukubali kuongozwa ? Au tubaki hivi hivi ?Hoja nzito sana hii.
Hiyo jamii ya Korea, China, Japan wana akili nzuri sana
Au za mbagala ?Ungeweka picha za Korea vijijini pia,au walau ungeweka za port au prince
Unahitaji kuelezewa hali yako ?Viti kama nini So Special?
Viti gani vinawalazimisha wa Haiti kubaguliwa? Watanzania kubaguliwa?
Hatariwengi wetu tuna roho mbaya,wewe anzia hapa jamiiforums angalia comments na jinsi tunavyo andika ndipo uome watu weusi tulivyo
Achana na Korea kusini linganisha kiinchi chako cha kipumbavu na Korea kaskazini ya kijamaa kama inafika hata roboVita vya Korea marekani alikua pamoja na Leo inayoitwa Korea kusini,akampa kila msaada aliouhitaji ili kuipiga bao kaskazini ya kijamaa ili ubepari uonekane Bora,Hilo tafu alilotoa kwa Korea kusini angetoa kwa nchi yoyote Africa ingefika mbali,Ila afrika haitakiwi kujikweza sababu ya rasilimali zake,maana watazikosa,wanatukandamiza kupitia madeni,na Sasa wamepandisha thamani ya Dola ili madeni yetu yakue tupige mark time
Pesa za misaada mnazopewa haziwatoshi au mnatapanya kwenye mambo yenu ya kipumbavu unafikiri huto vijisenti vya pesa za utumwa na ukoloni ndio vinawafanya mfike walipo fika Korea kusini ?Usisahau pia, kuwa kuna madeni Uingereza imekuwa ikiwalipa Wote walioathirika na biashara za Utumwa. Kama sikosei wamelipa madenipaka miaka hii ya 2000's Mabilioni.
Tatizo fedha hizo zimeenda kwa wale Wazungu waliodai wameathirika kwa usitishwaji wa Biashara hiyo na sio kwa wahenga, waliohamishwa na kuharibiwa Uchumi wao.
Sasa kama Marekani anamlipa Mjepu, kwanini asimlipe Mwafrika?
Kwanini Mwingereza amlipe Mwingereza mwenzake na asimlipe Mwafrika?
Zingatia madai yao, kwamba wanawalipa wahanga-wahanga walikuwa ni wazungu?
Umasikini umekithiriJe Tanzania mpk sasa nyumba za tembe zipo kibao
Inafikirisha kwa yanayo endeleaWaafrika wana upumbavu wa milele.
Inahuzunisha sanaUbinafsi ndio unatuponza,kila mtu anawaza kutoka kimaisha peke yake...
Hali ya Haiti inahuzunisha kwa kweliMbona sababu ya umasikini wao umeishaitaja paragraph ya tatu hapo juu!
Wewe jibu swali achana na mambo ya white superiorityWatu humu mnatia shaka uwezo wenu wa akili.
Mnashangaa! Uchumi wa Korea kusini upo juu lakini Haiti upo chini?
Hamjadili sababu zipi zilizofanya Korea kusini kuendelea?
Hamuwazi nini kilipelekea Haiti kuanguka baada ya vita ya kukupinga ukoloni na kumlipa faida mfaransa kwa miongo kadhaa.
Badala yake mmedakia na kununua western white superiority ideology kwamba hamuwezi kujiongoza na ninyi ni subhuman?
Watu kama wewe ni tatizo mojawapo la watu weusi.Unauhakika kua mtu mweusi hawezi jiongoza!
Kama hivo ndivyo kwanini Wazungu wanahangaika kuua Vingozi bora wa africa ambao wamekataa kua vibaraka
1.Patric Lumumba
2.John sankara
3.Magufuri
4.Gadafi
Wewe nchi yako Tanzania unataka kuletewa FDI kama ya Dubai ?Foreign direct investment iliyopelekwa Dubai unaweza linganisha na taifa Gani la mtu mweusi
Unaongea vitu usivyovijua mkuu,,, umemezeshwa na wazungu kua watu weusi hawawezi jiongoza Sikulaumu si makosa yako!!Watu kama wewe ni tatizo mojawapo la watu weusi.
Hivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.
Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.
Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.
Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.
Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln
GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700
GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)
GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)
Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923
Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion
GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709
GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)
GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)
Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.
Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.
wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k
Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.
ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.
HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI ?
View: https://youtu.be/e22v7uS0uUc?si=zFTDQNjt01amE666
uko na shida kichwani ! ijue kwanza historia ya haiti
Haiti haina miaka 200
Hiyo ni asili ya binadamu kulingana na Biblia takatifuMkuu unaufaham kias asili yetu naomba kwa kifupi
Usisahau pia kuwa aliyenifundisha hivyo ni mama yakoUmefundishwa hivo tangu uko tumboni kwa mama ako !Hatuwezi kukubadili
Tulifanya makosa kudai uhuruUpo sahihi ifike muda tuambizane ukweli na tukubaliane na huo ukweli wenyewe hata kama una tuumiza.
Kuna mahali tunafeli pakubwa na sisi tunajifanya kutokukubalina na hali hiyo.