Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Majitu meusi Mungu alitukosea kutuumba kichwani mwetu
 
TANZANIA in uhuru miaka 65 sasa lakini haikutii South Afrika ina miaka 30 ya uhuru.
 
Hiyo Haiti ganga violence inaimaliza.
Sijajua kwanini imetamalaki uhalifu wa magenge ya washika silaha.
Na hilo tatizo si rahisi kulimaliza aisee.
 
Ndo hawa hawa wanamwambia MTU Wa degree achome mahindi na kutembeza karanga.

Ukiset standard unalaumiwa

Binafsi hii ngozi Ina matatizo mengi Sana.
Halafu mtu ambaye ana elimu ya kuung uunga anazunguka nchi nzima kukisifia chama. Ndo maana watoto wa wanasiasa hawapendi shule. Teuzi karibia zote ni za kishabiki. Yaani mtu kama Makonda anakaa kwenye kamati kuu ya kufanya maamuzi ya nchi ? are we serious ? Hii inamaana mtu yeyote ana weza kuwa waziri au kupata cheo chochote ili mradi Rais anampenda.
 
Nashangaa south korea na Haiti wapi na wapi
 
Duuu
 
Msaada wa nini,nchi ipo dunia ya kwanza ina teknolojia,viwanda unasema imeendelea kwa sababu ya misaada?Ubepari ndio ulioiinua Korea kusini,walichagua upande sahihi wa kiuchumi hata kama una rafu nyingi.Ukiacha China iliyochakachua mfumo wake wa uchumi ipi ya kikomunist yenye maendeleo zaidi ya ubabe ubabe tu?Urusi wameendelea ila maendeleo yao hayaendani na rasilimali walizo nazo.
 
Mleta mada tafadhali aise, aleyommba gekke acha kufananisha S. KOREA na kijiHAITI, angalau ungeifananisha na S.Afrika, Egypt au Morocco.

Hicho kijiHAITI kinatofauti gani na mitaa yetu huku!
 
Kwa kweli inasikitisha sana. Haiti ni panya road tupu wanatawala. Kwa kweli sisi tuwe North au South hali ni ileile.
 
Kikubwa kinachotusumbua Waafrika ni inferiority complex syndrome,ubinafsi, shortsited mind,wizi na anasa.
 
Zero
brains 🧠 zero !!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…