Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Hakuna kitu sipendi kama nikiona kijana anaiga pigo za Black Americans, jamaa ni washamba hawajielewi, kesi zote za hovyo wapo... Hao hao wanamalizana wao kwa wao kila siku.

Aibu tupu hao jamaa.
si ndio wanakoiga vijana wenzangu wa Arusha. mi nilizikataa hizo pigo za kiwaa.
 
uzi uishie hapa.
hiki unachosema ameanza braza Kagame kukitekeleza pale Rwanda.
 
Wanafukuzia dolari kutoka kwa wakubwa wa Dunia !
 
🤣🤣🤣🤣 nimeskrinshot nitaonyesha wajukuu
 
Ushirikina,unafki,uongo,uchawa,chuki,roho mbaya,wizi,ufisadi na majungu! mwafrika ni laana kabisa.

Alafu hivi vitu vinaonekana Kama vipo kwenye DNA ya mwafrika.

Kwa tabia hizi, nchi za Afrika kamwe hazitakuja kupata viongozi walio bora na maendeleo endelevu iwe chini ya mfumo wa vyama vingi au chama kimoja.
 
Ushirikina, Uvivu, Chuki, Wivu,Tamaa, Uroho wa Mali na Madaraka.
Mkuu pamoja na hayo lingine ambalo tunalifanya kwa ufanisi ni ngono.
Wavivu kwelikweli lakini kwenye ngono tutafunga safari ndefu kuifuata.
 
kwanini isipigwe nuclear hapo Haiti wafe wote ianze moja? ushauri wangu tu.
Duu, mkuu umeenda mbali ila najua una hasira.
Lakini kama Haiti itapigwa Nuclear nadhani hata huku Afrika wasisahau kupachoma moto.
Maana tumechoshwa na huu userebende unaofanyika barani humu
 
Mwafrika amefanikiwa kuvumbua Voodoo tu huko haiti.

Ubinafsi ,uhasidi na ulafi ndio kitu kinachoifanya ngozi nyeusi isiendelee hapa duniani.

Yaani ngozi nyeusi ipo tayari kuuza nchi yake kwa kipande kidogo cha mkate atakaopewa na wazungu (ngozi nyeupe). Ni kama sasa hivi tu wabongo kibao wanatimkia ughaibuni kutafuta maisha ,elimu n.k na pindi wakiyapatia hawataki kabisa kurejea makwao kuleta maendeleo.

Na pia wachache watakaoamua kurejea makwao bado wanakutana na zengwe la ngozi nyeusi walizoziacha huku nyuma zikipinga wale waliopata ujuzi nje ya nchi wasipate nafasi yoyote kuleta maendeleo.
 
Duu, mkuu umeenda mbali ila najua una hasira.
Lakini kama Haiti itapigwa Nuclear nadhani hata huku Afrika wasisahau kupachoma moto.
Maana tumechoshwa na huu userebende unaofanyika barani humu
🤣🤣🤣
sasa mkuu wewe na mimi vp tuhusike ktk nyuklia wakicharaza Afirika au tusiguswe?
 
alafu chadema ndio wanataka kutupeleka huko Haiti ilipofikia wakizani watu ni wajinga wenzao
 
Uzi nimeusoma mpaka hapa . Nikiri tu kwa kusema sisi ni tatizo. YAANI MIMI NA WEWE MWAFRIKA MWENZANGu. Tusipobadilika kifikra hakika tutaendelea kupiga mark time. Watawala wetu nao ni EMPTY SET kichwani. Wengine ndio hao kila siku kiguu na njia kwenda kwenye nchi za watu af wenyewe hawana shobo na sisi.
 
Hakika sisi sote ni tatizo tena tatizo kubwa haswa.
 
TUKUBALI WAPI TUMESHINDWA NDIPO TUNAWEZA KUJIKOMBOA

Weusi lazima kukubali tumeshindwa katika nyanja nyingi. Kujua kosa ni mwanzo wa kijipanga kusimama tena tukiwa binadamu wenye hadhi sawa na wale wengine wasio weusi, kwa kuchukua juhudi rasmi kujikwamua.
  • Tumepigwa kitu kizito kwenye uwanja wa vita hivyo kutawaliwa,
  • kuchukuliwa utumwani, kukimbilia utumwa mamboleo hadi kuvuka jangwa / bahari kwenda ulaya/ arabuni kwa hiyari,
  • Na hadi kukubali imani za kuja za kigeni tunajidanyanya ni kujiokoa kiroho
  • Hatuna uongozi wa kiAfrika kujinasua kutoka unyonge huu dhalili
  • Tumepoteza desturi, tamaduni, majina yetu ya asili n.k
  • Hayo yote juu huwezi kuyakuta ktk mabara mengine watu kupoteza kila kilicho chao kwa hiyari, kuhadaiwa, kupigwa vitani kugeuzwa makoloni yenye uhuru wa bendera
  • N.k

Hayo yamepigiliwa msumari na Moeletsi Mbeki kuwa tuache kulia tumepigwa kila eneo tofauti na jamii zingine ulimwengu:

'White people didn’t steal the land… black people must accept defeat’ – Moeletsi Mbeki​



Moeletsi Mbeki, the brother of former President Thabo Mbeki said whites did not steal the land in South Africa, but rather fought for it.

Mbeki was speaking on 702 on Wednesday in a wide-ranging interview ahead of the national and provincial elections on 29 May.

The former president’s brother also touched on the African National Congress’ (ANC) policy successes and failures in the last three decades of government.

Whites conquered​

Mbeki said the whites fought for the land they have.

“There was a war between the black people and the white people and the whites won the war. They did not steal the land they conquered it.”
Asked if the “system of conquering” was unfair because the whites had more resources, Mbeki simply said that black people fought and lost.“No, they fought against it, they were defeated and when you are defeated you have to accept defeat.”Asked if the “system of conquering” was unfair because the whites had more resources, Mbeki simply said that black people fought and lost.“No, they fought against it, they were defeated and when you are defeated you have to accept defeat.”


Critical of ANC​

Mbeki has been very critical of the governing ANC and President Cyril Ramaphosa.
Last year, he said South Africa was likely to see more corruption as ANC comes closer to losing power.
He said South Africa is not better off under the presidency of Ramaphosa.

No, no, we are not better off. For the last 10 years, the per capita income of South Africans has been declining, which means we have been getting poorer and we are still getting poorer today, so we are not better off.”

Mbeki alleged that public officials are at the heart of corruption.

“The painful part is the closer the ANC gets to losing power, the more corruption we are going to see.

They have to take out from this feeding trough and put it in their pockets because they think that after [the] elections they will no longer be in power. So, I am afraid we have a lot more pain coming from corruption in the coming months,” Mbeki said.


Ramaphosa ‘not a leader’​

Mbeki previously said Ramaphosa is not a “leader but a party agent”.

He said Ramaphosa has one of the best public relations machines he could think of, “even better than Bell Pottinger”, but failed as South Africa’s president

“The man has totally failed as a president, he can’t decide on anything, but many people believe he can save South Africa.”

Cyril is not a leader really. He was never a leader. He is an apparatchik or an agent of the party but he presents himself as a leader. He’s not a leader – if you put him next to Nelson Mandela, Thabo Mbeki and even Jacob Zuma.”

Mbeki said Ramaphosa fails as a leader because he does not believe in anything
He goes with the flow. He wakes up in the morning and says ‘which way is the wind blowing’ and ‘I’m gonna go that way’.”

Mbeki also said the ANC as a collective should be blamed for the country’s failures.
Source: citizen.co za
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…