Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
- Thread starter
-
- #261
Inasikitisha kweliKabisa . Na hakuna jitihada za kueleweka za kutoka0kwenye huu mkwamo. Wale wachache wenye udhubutu wa mabadiliko ya kifikra wanakuwa eliminated haraka sana.
Duuh!Inashangaza zaidi ya kusikitisha
Watoto Fiji wanaogelea kwenye mto unaokimbia sana
Ili kwenda shule, tena wanajitupa na uniform zao, watakaukia huko huko
Sasa hiyo ni zaidi ya laana
Mkuu ukiiona hiyo video clip utahuzunika sana View attachment 2927288
not a leader really.
[emoji23][emoji23]Kwakuwa nasi ni waafrika hakuna namna ya kukwepa kibiriti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
sasa mkuu wewe na mimi vp tuhusike ktk nyuklia wakicharaza Afirika au tusiguswe?
Mkuu usihame, cha kufanya tubadirike.Mada kama hizi zinatia hasira ya kujitafuta na kahama Africa.
Vipi japan, vipi Israel.Hivi hawa wenzetu ndiyo Juzi nimeona taarifa Rais Ruto wa Kenya amesaini Mkataba wa kupeleka Jeshi lake Haiti kulinda amani!
Kama Nchi itakuwa kwenye vita na majanga ya asili mara Kwa mara ni vigumu kupiga hatua za maendeleo
Hili ndio tatizo sasa ...kila kitu hatukubali kuwajibika lazima tutafute wa kumlaumu... hiyo ndio asili ya mtu mweusi.Haiti ilihujumiwa sana, na kuwekewa mikakati kabisa isiendelee sababu ingekuwa mfano wa kuigwa na nchi nyingine hasa watumwa kwenye nchi nyingine kama USA etc.
Otherwise ingekuwa mbali sana kimaendeleo.
Acha undezi mshikaji!!Mnajadili nini?
Mtu mweusi?
Nchi ya Haiti?
Uchumi wa Korea vs Haiti?
Asia vs Africa?
au mnasambaza chuki?
Aisee hebu JamiiCheck mpite humu.
Toussaint Louverture and the Haitian Revolution inspired millions of free and enslaved people of African descent to seek freedom and equality throughout the Atlantic world. Toussaint and other black leaders of Saint-Domingue helped to lead the only Atlantic slave society which successfully defeated its oppressors.Hili ndio tatizo sasa ...kila kitu hatukubali kuwajibika lazima tutafute wa kumlaumu... hiyo ndio asili ya mtu mweusi.
Hili ndio tatizo sasa ...kila kitu hatukubali kuwajibika lazima tutafute wa kumlaumu... hiyo ndio asili ya mtu mweusi.
Mkuu hizo ni Nchi ya Dunia ya Kwanza, huwezi kuzifananisha na Tanzania ambao hadi Leo hii Kuna Shule hazina Walimu.Vipi japan, vipi Israel.
Haiti ni nchi ya majanga. Pia ni chanzo cha kudorora maendeleoHivi watu weusi dunia kote tuna matatizo nini?
Inashangaza taifa la Haiti lililo huru kwa zaidi ya miaka 200 iliyopita toka miaka ya 1700s huko linazidiwa maendeleo na South Korea iliyo huru baada ya vita vya pili vya dunia miaka ya 1948 na iliyo ingia vita vya wenyewe kwa zaidi ya miaka mitatu.
Haiti ni moja ya nchi masikini sana duniani iliyojaa ujinga, uchawi na uhalifu uliopindukia.
Lakini South Korea ni miongoni mwa nchi zilizo endelea duniani licha ya kuchelewa kuwa huru ukilinganisha na Haiti.
Haiti lilikuwa taifa la kwanza la watu weusi kupata uhuru duniani lakini hali yake inasikitisha sana.
Maisha ya wa HaitiView attachment 2925906View attachment 2925907View attachment 2925908View attachment 2925910
Uchumi wa Haiti
GDP (nominal) $8 Bln
GDP (PPP) $19 Bln
GDP per Capita(nominal) $700
GDP per Capita(PPP )$1,700
GDP rank
145th (nominal)
143rd (PPP)
GDP per capita rank
172nd (nominal)
174th (PPP)
Maisha ya wa Korea kusini
View attachment 2925924View attachment 2925925View attachment 2925926View attachment 2925927View attachment 2925923
Uchumi wa South Korea
GDP(nominal)$1.7 trillion
GDP(PPP) $2.9 trillion
GDP per capita(nominal)$33,147
GDP per capita(PPP)$56,709
GDP rank
13th (nominal)
14th (PPP)
GDP per capita rank
31rd (nominal)
29th (PPP)
Hivi sisi tuna matatizo sehemu yoyote ile duniani hata tukiwa nje ya Afrika ? Maana huyo mwenzetu kapata uhuru toka miaka ya 1700s kazidiwa mbali kabisa na huyo South Korea wa baada ya vita vya pili vya dunia hapo juzi tu miaka ya 1948 pamoja ya kwamba alikuwa na vita vya wenyewe kwa wenyewe tena miaka ya 1950-1953.
Wazungu wameweza kuleta maendeleo hata nje ya ulaya, wachina nao wameweza.
wazungu wametoka ulaya wamefanya maajabu Afrika kusini, Australia, Canada, Marekani, New Zealand n.k
Wachina wameweza kuibadili kabisa Singapore.
ila watu weusi Haiti anatuaibisha licha ya kupata uhuru zaidi ya miaka 200 iliyopita.
HIVI SISI TUNA MATATIZO GANI?