Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Jiandae kwa vitimbi visivyo kwisha
 
popote unapomwona mtu mweusi,au mwarabu aliyeshika dini kunakuwa na tabia zinazofanana.

ukitaka kujua watu weusi tuna matatizo angalia mambo wanayofanya ccm,yaani hawana shida nyingine zaidi ya kuona nchi imeingia machafuko haitawaliki tena ndio tumaini lao.kila siku wanafanya ujinga tu.
 
Hawa washenzi Haiti wana soko la kuuziana uchawi ila kuuziana maendeleo hawana pumbavu kabisa
Haiti inaongoza dunia kwa kuwa na maduko ya kuuza uchawi yaani voodoo shops

Sehemu zenye uchawi mwingi maendeleo huwa hamna angalia Ujiji kigoma ,nenda Pangani Tanga nenda Bagamoyo miji ya zamani lakini ukifika mjini kumechoka hatari shida uchawi mwingi hata Pemba kuna matajiri wengi lakini ukiwaambia wawekeze pemba hawakubali.Pemba kuchovu hatari

Hiyo miji ina sifa ya kuwa na uchawi mwingi na watu wa maeneo hayo wanaoishi huko wana midomo ya fitna utafikiri wanapuliza moto
 
Botswana wazungu wanamchango mkubwa mpaka sasa
 
Hamu aliuona uchi wa babaye, lakini Nuhu akatoa laana kwa Kanaani mwanaye, halafu jamani huo si uonevu kabisa kwanini asiitoe Kwa Hamu mwenyewe.
Aaahaaaa

Badala ya kumlaani mtoto wake akaamia kuwalaani.wajukuu zake

Halafu hivi unajua kuwa Hawa wakanani ndo waasisi wa Taifa la Palestina?

Inashangaza
 
Sisi sio mengi isipokuwa huwa yanajirudia.

Mara nyingi kwetu huwa ni Majanga ya Mafuriko tu
Hatufanani hata kidogo kwa majanga ya asili ya mara kwa mara kwa hayo mataifa niliyo kuorodheshea kama ambavyo kimaendeleo hatufanani nao hata kidogo
 
Wafrika wenyewe tumèshajitambua sisi ni watu wa daraja la mwisho.
Kazi yetu kuomba omba.

Kuomba na kusaidiwa saidiwa ni kitu cha aibu lakini bahati mbaya sisi wafrika hatuoni kinyaa kuomba omba.
Maisha ni mchaka mchaka, Dunia inakimbia lakini sisi wafrika tunatambaa.
Tumejaa ujinga mwingi.
 
Mbona Japan na Ujerumani walilipa sana gharama ya vita ya pili kwa Allied Powers tena hapa juzi na Leo wameshatusua,tena Karne ya 20
Unanyonywa na huku unafanyiwa Sabotage soma vizuri Historia ya Haiti 🇭🇹 acha kuleta Hoja za Vijiweni.
 
Ruto alisema anapeleka jeshi vipi tena
Huko wanaamini uchawi mpaka serikalini
Ni njaa sana na sasa wanakulana
Wamevunja jela na watu kibao wametoroka
Yaani weusi kuna ka laana flani hivi
Halafu fananisha na nchi za afrika achana na hao tabaka lingine
 
Exactly 💯😂
 
Hivyo ni vichaka tu
Mataifa yote duniani yalitawaliwa
Ishu siyo kutawaliwa,

Issue ni je baada ya kuwa huru unautumiaje uhuru na akili ya yako kwenda mbele
Sahihi mataifa mengi yalifanyiwa unyama ila Leo wapo mbali
 
Botswana wazungu wanamchango mkubwa mpaka sasa
Soma kitabu Cha Why Nations Fail

Mule kila kitu unachojadili kimeelezwa

We hushangai kwanini Korea Kusini imeizid maendeleo na Korea Kaskizini?
Korea zote asili yake ni Moja na kabla ya 1940s zote zilikuwa ni nchi Moja?

Inashangaza
 
Ni huzuni kwa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…