Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Hivi watu weusi duniani kote tuna matatizo? Haiti ina miaka zaidi ya 200 ya uhuru lakini maendeleo haifikii South Korea

Mimi nawaza kuja na ideas zangu kama mbil ivi, ni heavy maana ni uzalishaji wa ...sitasem moja kwa moja, ambpo nikifanikiwa nitatengeneza ajira za kudumu kwa vijana wa tz, ila nawaza sasa nitakavyopigwa vita na ccm, sjui mpk uwe benet nao dah mpk nakat tamaa, nawaza labd niende abroad.
Jiandae kwa vitimbi visivyo kwisha
 
popote unapomwona mtu mweusi,au mwarabu aliyeshika dini kunakuwa na tabia zinazofanana.

ukitaka kujua watu weusi tuna matatizo angalia mambo wanayofanya ccm,yaani hawana shida nyingine zaidi ya kuona nchi imeingia machafuko haitawaliki tena ndio tumaini lao.kila siku wanafanya ujinga tu.
 
Hawa washenzi Haiti wana soko la kuuziana uchawi ila kuuziana maendeleo hawana pumbavu kabisa
Haiti inaongoza dunia kwa kuwa na maduko ya kuuza uchawi yaani voodoo shops

Sehemu zenye uchawi mwingi maendeleo huwa hamna angalia Ujiji kigoma ,nenda Pangani Tanga nenda Bagamoyo miji ya zamani lakini ukifika mjini kumechoka hatari shida uchawi mwingi hata Pemba kuna matajiri wengi lakini ukiwaambia wawekeze pemba hawakubali.Pemba kuchovu hatari

Hiyo miji ina sifa ya kuwa na uchawi mwingi na watu wa maeneo hayo wanaoishi huko wana midomo ya fitna utafikiri wanapuliza moto
 
Nenda pale Mauritius uone
Wahindi walipelekwa pale Kama watumwa wa mwingereza na Mfaransa Ili walime mashamba ya miwa na chai

Walienda kwa aibu,kwa mizengwe mingi ya wakoloni ila Leo nenda uone wanavyoishi utafikkiri wapo ulaya

Nenda Visiwa viwili vya Komoro na Mayotee

Vyote vilitawaliwa na Mfaransa,Comoro wakaomba uhuru huku Mayotte wakaomba kuendelwa kuwa chini ya Ufaransa

Miaka mingi,kila siku pale Komoro wanapinduana na wananchi wanapiga mbizi na kupanda mashuja waende Mayotee

Watu wapo tayari kufa maji Ili tu watoto wao wazaliwe Mayotee wapate papers na uraia wa Ufaransa Ili waende Ulaya

Waafrika bado sana,kidogo labda Botswana
Botswana wazungu wanamchango mkubwa mpaka sasa
 
Hamu aliuona uchi wa babaye, lakini Nuhu akatoa laana kwa Kanaani mwanaye, halafu jamani huo si uonevu kabisa kwanini asiitoe Kwa Hamu mwenyewe.
Aaahaaaa

Badala ya kumlaani mtoto wake akaamia kuwalaani.wajukuu zake

Halafu hivi unajua kuwa Hawa wakanani ndo waasisi wa Taifa la Palestina?

Inashangaza
 
Sisi sio mengi isipokuwa huwa yanajirudia.

Mara nyingi kwetu huwa ni Majanga ya Mafuriko tu
Hatufanani hata kidogo kwa majanga ya asili ya mara kwa mara kwa hayo mataifa niliyo kuorodheshea kama ambavyo kimaendeleo hatufanani nao hata kidogo
 
Wafrika wenyewe tumèshajitambua sisi ni watu wa daraja la mwisho.
Kazi yetu kuomba omba.

Kuomba na kusaidiwa saidiwa ni kitu cha aibu lakini bahati mbaya sisi wafrika hatuoni kinyaa kuomba omba.
Maisha ni mchaka mchaka, Dunia inakimbia lakini sisi wafrika tunatambaa.
Tumejaa ujinga mwingi.
 
Mwafrika ni mwafrika haijalishi yuko wapi. Ona hata black Americans. Sisi tunapenda sana lawama. Maisha wanayoishi ya kimbwa mbwa halafu baadae lawama nyingi.
Na mkuu acha kulinganisha south korea na mambo ya kipuuzi walau ungeiringanisha na south africa
Exactly 💯😂
 
Hivyo ni vichaka tu
Mataifa yote duniani yalitawaliwa
Ishu siyo kutawaliwa,

Issue ni je baada ya kuwa huru unautumiaje uhuru na akili ya yako kwenda mbele
Sahihi mataifa mengi yalifanyiwa unyama ila Leo wapo mbali
 
Botswana wazungu wanamchango mkubwa mpaka sasa
Soma kitabu Cha Why Nations Fail

Mule kila kitu unachojadili kimeelezwa

We hushangai kwanini Korea Kusini imeizid maendeleo na Korea Kaskizini?
Korea zote asili yake ni Moja na kabla ya 1940s zote zilikuwa ni nchi Moja?

Inashangaza
 
popote unapomwona mtu mweusi,au mwarabu aliyeshika dini kunakuwa na tabia zinazofanana.

ukitaka kujua watu weusi tuna matatizo angalia mambo wanayofanya ccm,yaani hawana shida nyingine zaidi ya kuona nchi imeingia machafuko haitawaliki tena ndio tumaini lao.kila siku wanafanya ujinga tu.
Ni huzuni kwa kweli
 
Back
Top Bottom