Ulisemalo laweza kuwa kwa %chache sana, tuelewe kuwa mzungu kuna namna alivyoset hii dunia ili aendelee kuitawala na ukiangalia kwa makini utaona ngozi nyeusi ndilo kundi la mwisho ambalo amelenga ili lisijinasue kutoka kwenye lindi la umasikini, kuendesha nchi haina tofauti sana na kuendesha familia, sio rahisi sana kutoka familia ya kimasikini mara ghafla tu unakuwa tajiri bila kushikwa mkono, ni lazima awepo mtu akwambie pita hapa na pale mwisho utatoboa, lakn fikiria kila ulifanyalo kuna mtu anaweka kauzibe, yeye anakandamiza tu usiinuke unadhani kuna siku utatoboa?